Kati ya makampuni yaliyokwepa kodi mbona hatusikii yanayomilikiwa na Lowassa?

Hivi ile kampuni ambayo shareholders ni mzee ngoyai na mama regina kwa share 500 500 inaitwaje.. Anayeikumbuka jina lake aitupie pliz
 
Hivi Kati Ya Ukawa Na Ccm,ni Nani Walianza Kumshutumu Lowassa Kwa Ufisadi Na Kujijengea Jina Kupitia Yeye?
Ni Wakina Nani Walimwita "Fisadi Papa"?
Ni Nyie Ukawa Mlizunguka Nchi Zima Kusema Mamvi Ni Fisadi,labda Mtueleze Nyie Ufisadi Mliokuwa Mnausema Juu Yake Ni Upi?
 
Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata moja yenye mahusiano na Lowassa. Kinyume chake kuna harufu ya uvundo inayowahusisha vigogo waliocheza mchezo wa kumchafua.

Ukweli utadhiirika kwamba alizamishwa kwente tope la ufisadi makusudi ili kukatiza safari yake ya "matumaini" na watu waoga wenye nia ya kuila nchi yetu bila kunawa na wenye hofu ya kulipiziwa kisasi
Kammilikisha mwanae,mwanae kawamilikisha maswahiba,,sasa niambie how can it be traced back kwake,,,na vlevle kumbuka wkti wa kampeni aliuza hisa zake voda na kununua kampuni ya Tanzanite one,,.vlevle Ana kaka zake wa moshi 'the mawala's' ambao ni ndugu zake kbsa wanamiliki plot nyingi za ujenzi dar na biashara nyingi sana
 
kwani una haraka gani majipu si bado yanaendelea kutumbuliwa pale yanapokuwa yamekwiva?
 
Kammilikisha mwanae,mwanae kawamilikisha maswahiba,,sasa niambie how can it be traced back kwake,,,na vlevle kumbuka wkti wa kampeni aliuza hisa zake voda na kununua kampuni ya Tanzanite one,,.vlevle Ana kaka zake wa moshi 'the mawala's' ambao ni ndugu zake kbsa wanamiliki plot nyingi za ujenzi dar na biashara nyingi sana

Hakuna nilichoelewa, kwani hao hawawezi kutafutwa na system?
 
Natamani kuona wamiliki wa HSC wakitiwa hatiani na kufirisiwa, haiwezekani Kikwete anaondoka madarakani na wao wanatangaza kufirisika, sijawahi shuhudia uhuni wa wazi kama huu, hii familia imeonyesha dharau za wazi sana kwa watanzanaia

Mvaa Tai;
Habari za safari yako? Huko ulikokuwa hukupata habari kuwa huyo mmiliki alijitangaza kuwa "Kafilisika". Utamshitaki mfilisika?
Alifilisika kiasi kwamba, mfadhili wake yaani JK akamhurumia akampa unaibu Balozi kuleeeeeeee cccccccchiiinaa. Yupo Hong Kong. Anapata pumziko la mawazo ya ni jinsi gani alifilisika kijinga.
Sasa, labda umshauri JPM ajiangalie vyema kwenye orodha ya walio mnadi nchi nzima kwa sababu, nasikia ati huyu jamaa alifilisikia huko kwa kumchapishia yale mabango yoote ulio yaona pamoja na vigogo wengine wa ccm. Sasa, hiyo kodi ataipata wapi wakati amemtangaza nayo? Ndo maana unaona kimyaaaaa.
 
Mkono wa magufuki uki mgusa Ridhiwani kikwete na familia nzima ya Jakaya Kikwete daah ntafikiria kuchukua kadi ya ccm walahi tena.....!
 
Zitaje kwanza kampuni zake, kwani wewe umesikia kampuni gani ya Ridhiwan? akili nyepesi, hakuna kigogo wa serikali anayeweka makampuni yake wazi kwa majina yake.. anawatumia watu kama mimi na wewe, wanatumika watu kama Manji, Bakhresa, Rostam nk.
 
Kwan Lowasa anakampuni gan! lowasa n mpiga deal, anajulikana kama tajiri mkubwa bongo ila hana kampuni au biashara ya kuhalalisha utajiri wake na marafiki zake
 
Mvaa Tai;
Habari za safari yako? Huko ulikokuwa hukupata habari kuwa huyo mmiliki alijitangaza kuwa "Kafilisika". Utamshitaki mfilisika?
Alifilisika kiasi kwamba, mfadhili wake yaani JK akamhurumia akampa unaibu Balozi kuleeeeeeee cccccccchiiinaa. Yupo Hong Kong. Anapata pumziko la mawazo ya ni jinsi gani alifilisika kijinga.
Sasa, labda umshauri JPM ajiangalie vyema kwenye orodha ya walio mnadi nchi nzima kwa sababu, nasikia ati huyu jamaa alifilisikia huko kwa kumchapishia yale mabango yoote ulio yaona pamoja na vigogo wengine wa ccm. Sasa, hiyo kodi ataipata wapi wakati amemtangaza nayo? Ndo maana unaona kimyaaaaa.
Duu nchi yangu hii!!!
 
Ufisadi sio kwa kutokulipa kodi tu.Uvamızi wa maeneo ya wazi,Edo kashapoteza sites zaidı ya 2.Mabilion ya Uswis,Mauzo ya vocha feki yanakuja muda wowote!
 
Wakubwa huwatumia wahindi kwenye kampuni zao au wabantu wachache ambao wanawaamini.
So huwezi sikia kigogo katajwa utasikia Kumar Sandeeep Ajay Vajpeer etc nyuma ya pazia kigogo kachutama
 
Zile siasa chafu za nchi hii zinaelekea kujidhiirisha baada ya watanzania kushuhudia makampuni ya wakwepa kodi bila kutajwa kampuni hata moja yenye mahusiano na Lowassa. Kinyume chake kuna harufu ya uvundo inayowahusisha vigogo waliocheza mchezo wa kumchafua.

Ukweli utadhiirika kwamba alizamishwa kwente tope la ufisadi makusudi ili kukatiza safari yake ya "matumaini" na watu waoga wenye nia ya kuila nchi yetu bila kunawa na wenye hofu ya kulipiziwa kisasi

Nadhani ingekuwa busara kama ungetupa list ya hizo kampuni.
 
Mleta mada weka ushahidi ni wapi lowasa laituhumiwa kwa kwepa kodi. lowasa ametuhumia kwa kufisidi nchi, ufisadi na ukwepaji wa kodi ni vitu viwili tofauti japo vyote vinaathari katika mfuko wetu wa hazina. mpk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom