Kati ya magufuli na lowasa, yupi ana historia ya kuipa hasara kubwa serikali ya ccm

fukunyungu

JF-Expert Member
May 16, 2011
717
194
Naomba tufanye mchanganuo huu basing on the information ambazo ni halisi na sio ki nadharia tu....
 
kama ni vibaka basi john ni libaka

meli ya samaki
boat ya bagamoyo_dar
nyumba za serikali
barabara chini ya kiwango
madeni ya wakandarasi
daraja la kigamboni akishirikiana na maharamia ya mfuko
endeleaaaa... .
 
Back
Top Bottom