zote hovyo nunua za sundarnaomba kufahamu kati ya solar panel ya pro solar na oceanic ipi bora iwe mono au poly?
Wakuu, tufafanulie kwa nini unadhani ukiyoisema ni bora kuliko nyingine.zote hovyo nunua za sundar
oceanic ni bora kuliko sundar mkuu
Unatumia vigezo gan kutambua hilo?Prosolar ndo kila kitu wazeee