KATI YA HIVI VYUO ARDHI NA SUA

KATI YA HIVI VYUO ARDHI NA SUA

lupe leonard

Member
Joined
May 29, 2016
Posts
53
Reaction score
15
hivi wanajf..katika hivi vyuo kati ya ardhi na sua...ni course gan ambazo unazikubali sana...hpo kati ya hizi hapa na kuhusu hasa soko la ajira bongo....kati ya hizi ARDHI- bcs of land management &valuation 2-bcs of urban and regional planing 3-bcs of housing & infrastructure planning...........then kwa SUA- bcs of agricuture economics &agribusiness..2bcs of tourism......vipi...zipi hpo...zipo vzur....na hazisumbui angalau sokoni nianze na ipi af niishie na ipi??
 
SUA BSc Agricultural Economics and Agribusiness imekaa vizuri na kiajira iko safi.
 
Ulikutana wapi mwanafunzi aliyetoka vyuo hivyo akiwa mtaani kwa muda mrefu kama vyuo vingine ambavyo hujavitaja? Soma shahada yoyote ya Sayansi itakupa hata mawazo ya kujiajiri.
 
Kuna watu wamesimama Yale Univ Na wamelost, Na kuna waliosoma cbe (hicho chuo sijawahi kukielewa wala kukichukulia serious) Na wametoka wanakimbiza ile mbaya! Wakati unachagua kozi uwe umeshawaza 20 ways of how to use it to your benefits. Ndio la msingi nadhani
 
nani huyo aliyesoma YALE akakosa kazi mkuu?
 
Kuna watu wamesimama Yale Univ Na wamelost, Na kuna waliosoma cbe (hicho chuo sijawahi kukielewa wala kukichukulia serious) Na wametoka wanakimbiza ile mbaya! Wakati unachagua kozi uwe umeshawaza 20 ways of how to use it to your benefits. Ndio la msingi nadhani
Ahahahahahahahaha Mkuu CBE unakichukuliaje?
 
hivi wanajf..katika hivi vyuo kati ya ardhi na sua...ni course gan ambazo unazikubali sana...hpo kati ya hizi hapa na kuhusu hasa soko la ajira bongo....kati ya hizi ARDHI- bcs of land management &valuation 2-bcs of urban and regional planing 3-bcs of housing & infrastructure planning...........then kwa SUA- bcs of agricuture economics &agribusiness..2bcs of tourism......vipi...zipi hpo...zipo vzur....na hazisumbui angalau sokoni nianze na ipi af niishie na ipi??
Hebu edit thread yako uiandike vizuri. Swali lako linaweza kuwa serious ila majibu yakawa tofauti. Naona nukta nyingi na sijui sentensi inaanzia wapi na inapoishia.
 
Mawazo yako ndio yameishia kwenye kuajiriwa tuu?? Mimi ningekuwa wewe, ningesoma SUA then niingie shambani.
 
na wewe post mada zenye hoja naangaika kusoma kumbe ni unoko tu
 
Back
Top Bottom