Kati ya hawa, yupi unaona ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi?

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Wagombea urais wanaoongoza nchini Marekani Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Demcratic wamepata ushindi mkubwa katika mchujo jimbo la Arizona.

Kati ya hawa, yupi unaona ana nafasi kubwa ya kuibuka mshindi?

.............yanakusanyana kama mambweha kupanga kujitoa ICC lakini hayatumii mikusanyiko hiyo kubuni jinsi ya kuwaondolea umaskini wananchi wao. Yanapanga kubadili katiba zao ili yatawale milele huku yakitafuna mali za umma kama mchwa - DONALD TRUMP
 
Clinton anashinda. Kinachombeba trump sasa hivi ni kwamba kura za republicans zimegawanyika. Yaani wasiompenda trump wapo wengi ila wahajui wamchague nani wengine wanataka rubio wengine jeb bush nk. Trump anapendwa na kikundi kidogo cha watu. Naamini trump akiwa ana gombea dhidi ya mtu mmoja(clinton) hawez kushinda maana wamarekani wako tayari kupigia kura jiwe kuliko trump
 
maneno yasiyokuwa na hata chembe ya unafiki
 
Clinton anashinda. Kinachombeba trump sasa hivi ni kwamba kura za republicans zimegawanyika. Yaani wasiompenda trump wapo wengi ila wahajui wamchague nani wengine wanataka rubio wengine jeb bush nk. Trump anapendwa na kikundi kidogo cha watu. Naamini trump akiwa ana gombea dhidi ya mtu mmoja(clinton) hawez kushinda maana wamarekani wako tayari kupigia kura jiwe kuliko trump
duh! ujuaji ni kitu kibaya sana aisee!
 
.............yanakusanyana kama mambweha kupanga kujitoa ICC lakini hayatumii mikusanyiko hiyo kubuni jinsi ya kuwaondolea umaskini wananchi wao. Yanapanga kubadili katiba zao ili yatawale milele huku yakitafuna mali za umma kama mchwa - DONALD TRUMP

Ma viongozi ya afrika bwana hayana busara majizi sana ktk rasilimali za taifa hayana huruma kabisa ukikuta yanagombana na mdudu ushaur wangu saidia kwa nguvu zote mdudu kuliko haya majamaa...
 
Back
Top Bottom