sina uhakika kama nyerere aliacha kiongozi yeyote katika familia yake. unaweza ukapata akili ukanyimwa watoto wanaofanana na wewe. riz anaweza kuwa kwenye position bora baadaye kuliko watoto wa marais waliopita kwasababu unamwona kabisa yuko focused na babake anamusapoti na kumpika kwenye siasa. nyerere alitakiwa kuwapika watoto wake hawa kama kenyatta. ila kwa alichokiacha, dah, sidhani kama ni rais material.