Kati ya hawa wawili ni nani husababisha mmojawapo kufa mapema?

baba hutoka kwenda kutafuta ili mke amlidhishe (amflahishe),huenda machimboni, mapolini, mijini, na nk huko kote hukumbana na mikasa hatimaye mauti.

amflahishe, amlidhishe = Kisandawe
kiswahili ni amfurahishe, amridhishe..

though umeongea Jibu zuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom