X xavihernandezalcantara Senior Member Joined Nov 17, 2020 Posts 124 Reaction score 132 Jan 15, 2021 #1 Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi?
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 12,018 Reaction score 28,395 Jan 15, 2021 #2 Future tenses xavihernandezalcantara said: Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, Hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi? Click to expand... Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Future tenses xavihernandezalcantara said: Kwa mnaofuatilia mziki wa majuu hasa pale Marekani, Hivi kati ya Future na Young Thung nani zaidi? Click to expand... Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,501 Reaction score 27,786 Jan 15, 2021 #3 Usimfananishe future na watoto wadogo
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,310 Reaction score 5,157 Jan 16, 2021 #4 Ongeza nyama kwenye uzi wako
clixus JF-Expert Member Joined Dec 4, 2016 Posts 817 Reaction score 641 Jan 16, 2021 #5 Future mkali.....Ila thug Ana mbwembe nyingi na swagz nying kwenye nyimbo na lifestyle unique ambayo kwa haraka haraka utaona anamzidi future.
Future mkali.....Ila thug Ana mbwembe nyingi na swagz nying kwenye nyimbo na lifestyle unique ambayo kwa haraka haraka utaona anamzidi future.