F Faidhs Member Joined Aug 8, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Sep 1, 2018 #1 Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme
Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,929 Reaction score 5,769 Sep 1, 2018 #2 Soma business wewe acha ujinga
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Sep 1, 2018 #3 Piga umeme ukale shavu tanesco.... Ingawa kwa dunia ya sasa Environmental ni muhimu sana, mazingira yanalindwa kwa nguvu zote
Piga umeme ukale shavu tanesco.... Ingawa kwa dunia ya sasa Environmental ni muhimu sana, mazingira yanalindwa kwa nguvu zote