Kati ya electrical engineering na env science

Faidhs

Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme
 
Kwa mapana ya ajira na kujiajiri, kasome ELECTRICAL
 
Opt the e.engineering hutolala njaa
 
Naona kama the environmental one iko na a diverse network of jobs
 
Back
Top Bottom