Kati ya Degree ya Journalism na Mass Communication ni ipi bora?

Hudhaifay

Member
Jul 31, 2020
28
25
Ushauri kidogo ndugu zangu.

Bachelor of Arts In Journalism na Bachelor of Arts In Mass Communication, ipi ni kozi nzuri, maana mdogo wangu anataka kuomba.

Ushauri tafadhali
 
Hapohapo ni mimi pia nina swali Kijana wangu anaomba SAUT, kozi ya Public Relations and Marketing mfumo unamkataa hajakidhi vigezo.

Je ni mtandao upo chini au kozi imejaa?
 
Mfumo unamkataa Vipi.? Kuna Ujumbe Gani Unakuja Wakati anapofanya Application
 
Ushauri kidogo ndugu zangu.

Bachelor of Arts In Journalism na Bachelor of Arts In Mass Communication, ipi ni kozi nzuri, maana mdogo wangu anataka kuomba.

Ushauri tafadhali
Akasome Mass communication (BA in Mass comm)
Hiyo journalism ataikuta humohumo ndani ya BA in Mass Comm
 
Ufaulu wake ukoje?
Pamoja na hayo naomba nikuswalike!
Kijana wakati anaomba akaombwa na mfumo aongeze na ziada ya kozi, Dhumuni lake ni kusoma Public relations and marketing, kwa ushauri ungemshauri aongeze kozi gani ambayo angalau yanaendana au kuuzika kwa SAUT
 
Back
Top Bottom