Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2
aliomba
First priority health system n management mzumbe
Second akaomba udom law
Third akaomba mzumbe law
Fourth akaomba udsm law
Na tano akaomba udsm law enforcement
Na kupigwa Chini
Msaaada wa vyuo ambavyo anaweza apply kusoma law
Na afany nini ili asikose hii second round
But in mind kapata vyuo viwil vya kujaza ambavyo ni SAUT NA TUMAINI DAR
Nyie mnaonaje ni right choice au
Msaaada wa vyuo vingine tafadhali wadau
ni pmNdugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2
aliomba
First priority health system n management mzumbe
Second akaomba udom law
Third akaomba mzumbe law
Fourth akaomba udsm law
Na tano akaomba udsm law enforcement
Na kupigwa Chini
Msaaada wa vyuo ambavyo anaweza apply kusoma law
Na afany nini ili asikose hii second round
But in mind kapata vyuo viwil vya kujaza ambavyo ni SAUT NA TUMAINI DAR
Nyie mnaonaje ni right choice au
Msaaada wa vyuo vingine tafadhali wadau
Unajua watu wengn nawashangaa sana unataka kusoma education ila unajaza kozi zingine ambazo hazieleweki. Kwanini usijaze education mwanzo mwisho . Huku nikutokujitambua inaonyesha jinsi gani watu walivyo vigeugeu... Angejaza education mwanzo mpaka mwisho asingekosaMe mdogo wangua alipata DDC -HKL
aliichagua
1)bachelor of arts with education-DUCE
2)B.education in management and admistratino-UDOM
3)B.Human resources-Mzumbe
4)B.of arts in political scince and public admistration
5)B.public admistration-Mzumbe
priority ni kama zilivyojipanga.
Hajachaguliwaa! je amekosea wapi na ushauri.wa kufanya chaguzi kwenye second selection..
Msaada wakuu
Anaishi Mbezi kwa sasa?Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2
aliomba
First priority health system n management mzumbe
Second akaomba udom law
Third akaomba mzumbe law
Fourth akaomba udsm law
Na tano akaomba udsm law enforcement
Na kupigwa Chini
Msaaada wa vyuo ambavyo anaweza apply kusoma law
Na afany nini ili asikose hii second round
But in mind kapata vyuo viwil vya kujaza ambavyo ni SAUT NA TUMAINI DAR
Nyie mnaonaje ni right choice au
Msaaada wa vyuo vingine tafadhali wadau
Hapo kweli wakuu ntapata second round?
acha umalayani pm
Unajua watu wengn nawashangaa sana unataka kusoma education ila unajaza kozi zingine ambazo hazieleweki. Kwanini usijaze education mwanzo mwisho . Huku nikutokujitambua inaonyesha jinsi gani watu walivyo vigeugeu... Angejaza education mwanzo mpaka mwisho asingekosa
Mwambie second round asifanye hivyo lasivyo atasota sana
Kwa hiyo mkuu kwa mfano mtu akachagua bachelor of arts with education vyuo vitano atakosa?Ni Wazi Kuna Kitu Bado Hujakielewa!! Sharti Moja La Kuomba na Kupata Chuo Ni Kuchagua Kuanzia Programs 3 tofauti, Na Mwisho Ni 5.
Sasa Usialamu Kwa Hilo Kwani Huwezi Chaguoa Program Moja tu Mwanzo Mwisho Hapo itakuwa Automatically Umeshakosa Chuo Kwani Hukufuata Shart La Udahili. Ni Lazima Uanze na Programs TATU.
Si kweli mkuu naomba uongee kile ambacho una uhakika nacho, mimi binafs nilichagua elimu mwanzo mwisho na nimepataNi Wazi Kuna Kitu Bado Hujakielewa!! Sharti Moja La Kuomba na Kupata Chuo Ni Kuchagua Kuanzia Programs 3 tofauti, Na Mwisho Ni 5.
Sasa Usialamu Kwa Hilo Kwani Huwezi Chaguoa Program Moja tu Mwanzo Mwisho Hapo itakuwa Automatically Umeshakosa Chuo Kwani Hukufuata Shart La Udahili. Ni Lazima Uanze na Programs TATU.
je izo koz anazotaka kwenda kusoma kazion?Ndugu zangu Kuna ndugu yangu kapata 2 aliomba First priority health system n management Mzumbe.
Second akaomba UDOM Law.
Third akaomba mzumbe Law
Fourth akaomba UDSM Law
Na tano akaomba UDSM Law enforcement
Na kupigwa Chini
Msaaada wa vyuo ambavyo anaweza ku-apply kusoma law
Na afanye nini ili asikose hii second round?
But in mind kapata vyuo viwili vya kujaza ambavyo ni SAUT NA TUMAINI DAR.
Nyie mnaonaje ni right choice au
Msaaada wa vyuo vingine tafadhali wadau