Katavi: Ujenzi wa meli nne unaoendelea katika Bandari ya Karema Wilaya ya Tanganyika, umefikia pazuri

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
726
Reaction score
953
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa meli nne unaoendelea katika Bandari ya Karema Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.
IMG-20260221-WA0015.jpg

Kihenzile ametoa pongezi hizo leo alipotembelea bandarini hapo kwa lengo la kujionea maendeleo ya mradi huo wa ubia kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya Gold Voyage Logistics kutoka nchini China.
IMG-20260221-WA0013.jpg

"Meli hizi zitakwenda kuongeza tija kwenye bandari zetu kwa sababu zitakuwa zinabeba mzigo kutoka nchi jirani kama vile Congo DR, Burundi na Zambia kuleta upande wetu kupitia bandari za Ziwa Tanganyika kabla ya kupokelewa Bandari ya Dar Es Salaam na kusafirishwa popote duniani," Amesema Kihenzile.
IMG-20260221-WA0011.jpg

Aidha Kihenzile ametoa mualiko kwa sekta binafsi kuja kuwekeza zaidi katika sekta ya uchukuzi ili kuongeza ufanisi katika usafiri na usafirishaji.

Awali akiwasilisha taarifa ya uendeshaji wa Bandari ya Karema Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika Edward Mabula amesema kuwa ujenzi wa meli tatu umekamilika na meli moja imefikia asilimia 90 na inatarajiwa kukamilika muda si mrefu.

Pia Mabula amesema kuwa tangu bandari hiyo kuanza imehudumia tani 15,000 za mizigo, meli saba na boti takribani 600 jambo linaloonesha kuwa bandari hiyo bado haijatumika ipasavyo lakini miundombinu itakapokamilika itakuwa na ufanisi unaotakiwa.
IMG-20260221-WA0009.jpg
IMG-20260221-WA0012.jpg
IMG-20260221-WA0014.jpg
IMG-20260221-WA0010.jpg
 
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa meli nne unaoendelea katika Bandari ya Karema Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.
View attachment 3546894
Kihenzile ametoa pongezi hizo leo alipotembelea bandarini hapo kwa lengo la kujionea maendeleo ya mradi huo wa ubia kati ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na kampuni ya Gold Voyage Logistics kutoka nchini China.
View attachment 3546897
"Meli hizi zitakwenda kuongeza tija kwenye bandari zetu kwa sababu zitakuwa zinabeba mzigo kutoka nchi jirani kama vile Congo DR, Burundi na Zambia kuleta upande wetu kupitia bandari za Ziwa Tanganyika kabla ya kupokelewa Bandari ya Dar Es Salaam na kusafirishwa popote duniani," Amesema Kihenzile.
View attachment 3546892
Aidha Kihenzile ametoa mualiko kwa sekta binafsi kuja kuwekeza zaidi katika sekta ya uchukuzi ili kuongeza ufanisi katika usafiri na usafirishaji.

Awali akiwasilisha taarifa ya uendeshaji wa Bandari ya Karema Meneja wa Bandari za Ziwa Tanganyika Edward Mabula amesema kuwa ujenzi wa meli tatu umekamilika na meli moja imefikia asilimia 90 na inatarajiwa kukamilika muda si mrefu.

Pia Mabula amesema kuwa tangu bandari hiyo kuanza imehudumia tani 15,000 za mizigo, meli saba na boti takribani 600 jambo linaloonesha kuwa bandari hiyo bado haijatumika ipasavyo lakini miundombinu itakapokamilika itakuwa na ufanisi unaotakiwa.
View attachment 3546893View attachment 3546895View attachment 3546896View attachment 3546898
[/QUOTE
Mbona kubwa Sana! Si zitabanana ndani ya ziwa.
 
Watu wa Mafia wameikosea nini hii nchi mpaka Leo hakuna meli au ndio Zanziber itapata upinzani?
 
Meli hailipi mkuu 'jidu', hiyo ndiyo tragedy ya watu wetu miaka hii!
Wewe nina uhakika hujawahi kulipa kodi tokea uzaliwe nyang'au wewe halafu makelele mengi sijui tunataka hivi au vile
 
Wewe "unauhakika" kwamba mimi sijawahi kulipa kodi!

Sasa nguruwe kama wewe kwa nini nipoteze muda wangu kujihangaisha nawe!
 
Back
Top Bottom