kataaaaaaa kata....

ukokwenda ni kugumu kuliko ulikotoka,
ukiwakuta wape salamu sana.

 
Kaizer na hommie wako wote, mmewekwa kinyumba wapi?
Kuna mtu kaloweka nguo zenu?

hommie wangi Asprin mara ya mwisho alikuwa anamtongoza ummu kulthum kama sijakosea sijui wameishia wapi ndo maana nikaona nimtafute Kongosho nimpe ujumbe huu maana mimi tu ndo nimebaki kuleta taarifa!

habari ya kulowekeana nguo ni kweli, Asprin kalowekewa nguo mitaa ya Mabawa tanga akija hapa atawapa uthibitisho alivojaribu kutoroka ila nguo!

Hongera Kongosho kwa post 15K! Mwaaaaaah
 
Last edited by a moderator:
si hapa naona watu wananailiu. Mie za live naziogopa bana hujasikia huko watu wanapeana za uso
By the way Habari zakoooo

Mi nimetokelezea usiogope uzazi utakufa bila
Mtoto! Lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…