Msegeju ana ng'ombe
Nami nna ng'ombe zangu
Namwambia tuchanganye hataki
Kwa heri nenda zangu
Kataaa kata
Kata Kaunga kata
Kiuno chako mwenyewe
Kata Erotica kata
Kata Zinduna kata
Kata Amyner kata
Mpaka erick azibuke
Kataaaa kata.......
Kongosho kaa pembeni kurrreeee haya huyawezi labda ingekuwa chagulaga.
Heheheeeee kwanza naomba kujua hali ya huyo kwenye avatal yakostress free
Heheheeeee kwanza naomba kujua hali ya huyo kwenye avatal yako
Umetaja wanawake tu wakate. Nyie pia mnatakiwa kukata.
Kataaa Asprin kata, mpaka cacico adate.
kataaa@kaizer kata mpaka gfsonwin azime.
Kataaa Judgement kataa hadi beibe nasty adate.
Kataaa Vin Diesel, hadi sweetlady apagawe.
Kataaa wanaume wooote.
Erickb52 we najua unakata sana tena daily. Lol
We mtoto wewe,kwa nini unanifanyia hivo lakini?
Hahahaaaaaa ila nawewe unajua kukikata hadi raha lolUmetaja wanawake tu wakate. Nyie pia mnatakiwa kukata.
Kataaa Asprin kata, mpaka cacico adate.
kataaa@kaizer kata mpaka gfsonwin azime.
Kataaa Judgement kataa hadi beibe nasty adate.
Kataaa Vin Diesel, hadi sweetlady apagawe.
Kataaa wanaume wooote.
Erickb52 we najua unakata sana tena daily. Lol
Niko kwenye kibao kata kinondoni,karibu.
Jamani bby huyu Bishanga hakupendi eeeh?
Najua kukata maun
Muulize The secretary ananijua kwa undani