Mwanaume unampigiaje mwanamke magoti?
Sijawahi kuelewa,kwanini mwanaume umpigie mwanamke goti wakati wewe ndiye unayemuokoa?yeye ndiye anatakiwa apige magoti kushukuru yupo kijana mmoja MC huku Dar alilia wakati akivisha mwanamke pete sasa unajiuliza huyu anaolewa yeye au?