Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,069 Reaction score 34,839 Mar 19, 2010 #1 <!--ThumbEnd--> Hali ya joto jijini Dar, imekuwa neema kwa wafanyabiashara ya madafu kwa ajili ya kukata kiu na kuongeza virutubisho kadhaa mwilini. Pichani, muuza madafu akiwahudumia wateja wake maeneo ya Posta Mpya jijini leo mchana.
<!--ThumbEnd--> Hali ya joto jijini Dar, imekuwa neema kwa wafanyabiashara ya madafu kwa ajili ya kukata kiu na kuongeza virutubisho kadhaa mwilini. Pichani, muuza madafu akiwahudumia wateja wake maeneo ya Posta Mpya jijini leo mchana.