Ndo maana huwa sikosi tuthipik au pini kwenye pochi, ningekuwa huyo dada ningemchomka 'twiiii'
Akishtuka tu, namwambia kanijambia basi, tena nakuwa mkali utazani kanishika tumbo la uzazi.
Huyo dada asingeweza kuvumlia hivi...lazima angetafuta mbinu ya kutomasa tomasa!
ha ha ha hapo wazee wa zantel to zantel wanatokwa udenda,,,
fafanua mkuu!