Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Aug 13, 2013 #21 Msamiati said: Bosi kwani zilipendwa zikipigwa kwenye redio hazilii!!!? Click to expand... zinasikika lakini inakuwa makelele tu mkuu...hazichezeki
Msamiati said: Bosi kwani zilipendwa zikipigwa kwenye redio hazilii!!!? Click to expand... zinasikika lakini inakuwa makelele tu mkuu...hazichezeki
Varbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,124 Reaction score 895 Aug 13, 2013 #22 b'real said: View attachment 106885aaah!!mungu anaumba jamani.... Click to expand... tamaa zako tu hakuna jipya humo!!
b'real said: View attachment 106885aaah!!mungu anaumba jamani.... Click to expand... tamaa zako tu hakuna jipya humo!!
Msamiati R I P Joined Mar 6, 2011 Posts 1,063 Reaction score 700 Aug 13, 2013 #23 watu8 said: zinasikika lakini inakuwa makelele tu mkuu...hazichezeki Click to expand... Aaaaaa kumbee! kumbe lengo ni kucheza basi hapo nimesha elewa
watu8 said: zinasikika lakini inakuwa makelele tu mkuu...hazichezeki Click to expand... Aaaaaa kumbee! kumbe lengo ni kucheza basi hapo nimesha elewa
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Aug 13, 2013 #24 Msamiati said: Tuache kufikilia kinyume na maumbile, Hatuwezi kumsifu mungu kwa vitu vidogo kama hivi ambavyo hata mchina anafanya Click to expand... Kuna wakati MUNGU anatenda kupitia mikono ya watu... ikiwemo mikono ya wachina....
Msamiati said: Tuache kufikilia kinyume na maumbile, Hatuwezi kumsifu mungu kwa vitu vidogo kama hivi ambavyo hata mchina anafanya Click to expand... Kuna wakati MUNGU anatenda kupitia mikono ya watu... ikiwemo mikono ya wachina....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Aug 13, 2013 #25 ndetichia said: chezea kaputeni wewe.. Click to expand...
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Aug 13, 2013 #26 watu8 said: Click to expand... hivi mchezaji anae vaa kitambaa kwenye mkono wa kushoto kinaalama ya "c" hivi anaitwaje.......!!
watu8 said: Click to expand... hivi mchezaji anae vaa kitambaa kwenye mkono wa kushoto kinaalama ya "c" hivi anaitwaje.......!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Aug 13, 2013 #27 NAPITA said: hivi mchezaji anae vaa kitambaa kwenye mkono wa kushoto kinaalama ya "c" hivi anaitwaje.......!! Click to expand...
NAPITA said: hivi mchezaji anae vaa kitambaa kwenye mkono wa kushoto kinaalama ya "c" hivi anaitwaje.......!! Click to expand...
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 612 Aug 13, 2013 #28 B'REAL said: mambo ya sugura.... Click to expand... ?????????????????????????????????
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Aug 13, 2013 #29 Safari_ni_Safari said: Click to expand... Hahahaah!! Hizi fujo sasa. Ila anafaa sana.
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Aug 13, 2013 #30 Katavi said: Hahahaah!! Hizi fujo sasa. Ila anafaa sana. Click to expand... Zamani zetu tukiwaita "VIPUSA"
Katavi said: Hahahaah!! Hizi fujo sasa. Ila anafaa sana. Click to expand... Zamani zetu tukiwaita "VIPUSA"
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Aug 13, 2013 #31 B'REAL said: mambo ya sugura.... Click to expand... sugura ndio ubini wako?
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,217 Reaction score 3,123 Aug 13, 2013 #32 NAPITA said: sasa na huyu je? kaumbwa asubuhi View attachment 106893 Click to expand... Safari_ni_Safari said: Click to expand... watu8 said: Click to expand... Wanawake wengi wa kiafrika wakizeeka na kuzaa hulingana tu, ndo maana wanaume daima tunatafutaga damu changa kabla jua halijafikia machweo..#fact
NAPITA said: sasa na huyu je? kaumbwa asubuhi View attachment 106893 Click to expand... Safari_ni_Safari said: Click to expand... watu8 said: Click to expand... Wanawake wengi wa kiafrika wakizeeka na kuzaa hulingana tu, ndo maana wanaume daima tunatafutaga damu changa kabla jua halijafikia machweo..#fact
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,248 Aug 13, 2013 #33 watu8 said: Click to expand... Lazima utwange na kupepeta........Hii ndo raha ya Jf hakuna kupepesa macho ukikimbia nchale ukikwepa nchale.....
watu8 said: Click to expand... Lazima utwange na kupepeta........Hii ndo raha ya Jf hakuna kupepesa macho ukikimbia nchale ukikwepa nchale.....
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Aug 13, 2013 #34 Katakua kaliumbwa ijumaaa haka..siku ya mapumziko
CABANA JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 422 Reaction score 557 Aug 13, 2013 #35 B'REAL said: View attachment 106885aaah!!mungu anaumba jamani.... Click to expand... Hivi nani anakula hii toto. Yaani toto sura mpaka body acha kabisa watu wanakula raha jamani.
B'REAL said: View attachment 106885aaah!!mungu anaumba jamani.... Click to expand... Hivi nani anakula hii toto. Yaani toto sura mpaka body acha kabisa watu wanakula raha jamani.
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,573 Reaction score 3,255 Aug 13, 2013 Thread starter #36 Ntonga said: tamaa zako tu hakuna jipya humo!! Click to expand... mmmh kaka tamaa ilimshinda kanumba sembuse mimi katoto kazuri kape sifa zake
Ntonga said: tamaa zako tu hakuna jipya humo!! Click to expand... mmmh kaka tamaa ilimshinda kanumba sembuse mimi katoto kazuri kape sifa zake
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,573 Reaction score 3,255 Aug 13, 2013 Thread starter #37 asigwa said: Katakua kaliumbwa ijumaaa haka..siku ya mapumziko Click to expand... yani doh
B'REAL JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 4,573 Reaction score 3,255 Aug 13, 2013 Thread starter #38 Abdulhalim said: Wanawake wengi wa kiafrika wakizeeka na kuzaa hulingana tu, ndo maana wanaume daima tunatafutaga damu changa kabla jua halijafikia machweo..#fact Click to expand... fana nisha hapo black berry na nokia katochi
Abdulhalim said: Wanawake wengi wa kiafrika wakizeeka na kuzaa hulingana tu, ndo maana wanaume daima tunatafutaga damu changa kabla jua halijafikia machweo..#fact Click to expand... fana nisha hapo black berry na nokia katochi