kasupu..

Mlokole anayevaa kihasara hasara, ngoja aende mt. Petro na kivazi chake aone kama atatia miguu.
 
kameshakuwa Zilipendwa hako...
 
hasa ukikaweka viungo kama tangawizi, ndimu, swaumu n.k...

kanafaa sana kuliwa na chapati, wali au hata ubwabwa.
 
Pango la nyoka na pango la panya yote ni mapango tu!!!
 
hasa ukikaweka viungo kama tangawizi, ndimu, swaumu n.k...

kanafaa sana kuliwa na chapati, wali au hata ubwabwa.
hakaa kanafa kuliwa na bada yani kivyote kana lika jamani wakubwa wanafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…