Ni kweli mkuu; ila tuwe fair kuna wenye uhitaji ndo tuwafarijiImeandikwa, aliyekuwa nacho ataongezewa!
Yaani unamuacha ndugu/clasmate muhimbili/mwananyamala unasaidia mtu aliyepo bondeni?Kumbuka mwenye nacho huongezewa.
Sikatai kusaidiana matajiri..ila wa kuwasaidia wapo mtu kama ruge anajiweza kila kitu ila kuna watu wanakufa kwa kukosa 100000 tu ya kilimo.. .hao ndo nawazungumzia hasaWacha kupiga piga kelele nimesoma mahali kwamba "maskini ana roho mbaya sana" sasa nadhibitisha hapa Jf!! We hukutaka matajiri wasaidiane!?
Siku hizi watu wanasaidia pale ambapo wanajua fika siku ya kiwafika hawatakosa msaada kwao.
Kifupi watu wanalima panakolimika.
Ile ni rushwa ili Jiwe apate kick radio fulani kwenye kampeni zake.Kumekuwa na kasumba ya ndugu/marafiki/classmate kuwasaidia watu wanaojiweza michango mikubwa ili kufanikisha shughuli zao kama harusi/ugonjwa/msiba/ada huku watu wa hali ya chini ambao ndo wanauhitaji mkubwa wakichangiwa kdogo/ kususiwa au kupotezewa kabisa wakati uhitaji wao ni kupush mambo yao kdgo tu mfano ukienda muhimbili/mwananyamala kuna watu vipimo cha 200000 tu vinawashinda wanakufa; ila mtu ameweza mpaka kwenda bondeni inamaana anajimudu vizuri tu; ni vile tu wenye hela wana pendana wenyewe.
Nimetoa mada hii baada ya kuona mchango wa mheshimiwa kwa tajiri ambaye inasemekana yupo bondeni kwa matibabu; sio kwamba yeye hawezi kumudu gharama ila ndo hivyo mkuu kaamua kumchangia boss mwenzake na hii ndio hali halisi iliyopo sehemu nyingi tz watu wenye nazo wanawasaidia wenye nazo zaidi kuliko makapuku hapo unaweza kuta kuna ndugu/classmate/ ambaye hana kitu kabisa na yupo hospitali na hawezi kulipia gharama ila ni ngumu sana kusikia amesaidiwa.. .
the bone of contention is.. hizo ela anazotoa kwa tajiri ni zetu sisi walala hoi. si zake binafsi zile!!Imeandikwa, aliyekuwa nacho ataongezewa!
We unafikiri ruge anauhitaji kama waliopo hospital za ndani wanashindwa kulipia vipimo??Kweli maskini tuna roho mbaya. Mchango wa Ruge kwenye jamii unashindwa kuuthamini.
Ahsante Mh Rais Magufuli kwa kumsaidia Ruge matibabu.
Matajiri wengi wanasahau wa kudaidiwa ni masikini sio matajiri wenzaoIle ni rushwa ili Jiwe apate kick radio fulani kwenye kampeni zake.
Sio wanasahau.Matajiri wengi wanasahau wa kudaidiwa ni masikini sio matajiri wenzao