Kasuku

Wambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
558
Reaction score
335
[h=6]

Kuna jamaa alimrudisha kasuku
dukani,
Akamwambia mwenye kasuku,
kasuku huyu ana2kana sana,
naomba unipe mwengine,
... Muuza kasuku akamtolea
mwengine, akamwambia huyu
ha2kani ila akinyanyua mguu
wa kulia anaongea kihindi,
Akinyanyua wa kushoto
anaongea kiarabu,
Mnunuzi akauliza je akinyanyua
yote miwili?
Kasuku akamwambia"we
****** nini!!?? C nitaanguaka
[/h]
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…