F flonze Member Joined Jun 30, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Jan 28, 2014 #1 jamani ningependa kufahamu bei ya kasuku na pia nataka kujua inawezekana kufuga tausi nyumbani
Iron Lady JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 4,071 Reaction score 1,382 Jan 28, 2014 #2 Hata mie nataka kufuga kasuku ila sijui nawapata wapi na bei zake. Pale victoria huwa wanauzwa ila ni muda sasa sijawaona, naona mbwa tu na nyau
Hata mie nataka kufuga kasuku ila sijui nawapata wapi na bei zake. Pale victoria huwa wanauzwa ila ni muda sasa sijawaona, naona mbwa tu na nyau
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Jan 28, 2014 #3 tausi wamezagaa pale ocean rd hospital kama jana nimekamata wawili kwa ajili ya kitoweo. kakamate tu mkuu. ni bureee
tausi wamezagaa pale ocean rd hospital kama jana nimekamata wawili kwa ajili ya kitoweo. kakamate tu mkuu. ni bureee