Kassim Majaliwa Rais wa Tanzania 2025-2030

Kassim Majaliwa Rais wa Tanzania 2025-2030

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
20250702_231330.jpg


Huyu ndie Rais wa Tanzania 2025-2030.

Tanzania inaenda kuzaliwa upya kwenye siasa.
 
Ila Mh. Majaliwa amefanya jambo la maana sana, kwenye kuamua kutokugombea tena ubunge kweli kapiga hesabu vizuri sana baadae huyu atatufaa sana kuhamasisha vijana wapewe nafasi za kiuongozi na ajira.

Kaamua kufanya kitendo kitakachompa moral authority yakukemea mengi hapo baadae. Kweli ni mfano wakuigwa kwenye hili swala.
 
Anaweza kwenda chauma au act ili kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani kwa misingi ya kuonyesha mataifa kuna demokrasia na kuzima kauli ya chadema ya no reform no election
 
Mwacheni apumzike! Hata nje ya siasa za Tanzania kuna maisha.
 
Back
Top Bottom