Kasoro hapa ni nini hasa!?

Kasoro hapa ni nini hasa!?

Kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta mschana ambaye ni "wife material" ili nianzishe familia yangu. Sikupenda na hadi sasa bado nastruggle ili nifkishe miaka 30 nikiwa na mwenza. kifupi ni kuwa nikiwa chuo nilimaliza bila mchumba. Niko kazin kwa mwaka sasa, lakin kila mschana anayenivutia nakuta anamtu tayari na wengine hutamani endapo tungefahamiana kabla... wanaoning'ang'ania hawanivutii Kabisa! Hadi nimeshawshka kutafta hum Jf nikutane na ambao hawajapata, nashangaa hawajitokez! TATIZO NI NNI!?

Msg delivered wanakuja
 
mh! hilo nalo nenoo!! lakini wengi wanaoning'ang'ania hatuendani kitabia. Mimi si mtu wastarehe kivile ila utakuta wanaojilengesha baada ya mda watataka out zisizonampangilio! Daah! ila ngoja niendelee kusubiri.

nipo hapa outing mara moja kwa mwezi inantosha sana
 
Back
Top Bottom