Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hilo la 10% mkuu wangu wala hakuna aliyesalimika....wote, foreign na local, ni corrupt wakubwa!! Kuna wakati nilikuwa NMB....kuna siku nilishangaa pale cheki ya malipo ya Mkandarasi (ni local huyu) ilipofika benki kwa malipo!! Yaani yule bwana, alichukua just part of the total amount....!! Nilipowauliza bankers wenzangu wenye muda mrefu pale kulikoni, nikaambiwa nitulie wenye amount iliyobaki utawaona!! All of them walikuwa District Officials walio-initiate tender
6) Serikali inawahusudu wageni kwa kuwa huwapelekea "ten percent" kwenye akaunti zao uswisi na ndiyo maana pamoja na kulia na bei za makandarasi wengi ni za kutisha hawako tayari kuachia mkate wao na kubadilisha mfumo mzima wa utendaji ndani ya Wizara ya miundo mbinu ikiwa pamoja na TANROADS.
Hilo la 10% mkuu wangu wala hakuna aliyesalimika....wote, foreign na local, ni corrupt wakubwa!! Kuna wakati nilikuwa NMB....kuna siku nilishangaa pale cheki ya malipo ya Mkandarasi (ni local huyu) ilipofika benki kwa malipo!! Yaani yule bwana, alichukua just part of the total amount....!! Nilipowauliza bankers wenzangu wenye muda mrefu pale kulikoni, nikaambiwa nitulie wenye amount iliyobaki utawaona!! All of them walikuwa District Officials walio-initiate tender
Yaani huko Manispaa, balaa tupuDuh hali ni mbaya sana kumbe!! Coz hata hizi pesa za mabarabara za World Bank zinapitia manispaa yaani ni uchakachuaji kwa kwenda mbele...bora zingeenda moja kwa moja kwa moja kwa mkandarasi...We have long way to go
Shida apa kazi ambayo mzawa atapewa kwa 1b kazi iyo iyo ushangaa mtu wa nje kapewa kwa 2B
Izi 10% toka hasa kwa wachina zitakuja kutumaliza matokeo yake wanajenga barabara substandard na hakuna wa kumkoromea bse ushalamba cha juu
Yaani huko Manispaa, balaa tupu
Hilo la 10% mkuu wangu wala hakuna aliyesalimika....wote, foreign na local, ni corrupt wakubwa!! Kuna wakati nilikuwa NMB....kuna siku nilishangaa pale cheki ya malipo ya Mkandarasi (ni local huyu) ilipofika benki kwa malipo!! Yaani yule bwana, alichukua just part of the total amount....!! Nilipowauliza bankers wenzangu wenye muda mrefu pale kulikoni, nikaambiwa nitulie wenye amount iliyobaki utawaona!! All of them walikuwa District Officials walio-initiate tender
Ruta,
Labda mie nigusie kidogo tu hilo la kuungana!!
For what i know, kampuni zetu nyingi mtaji ni magumashi! Sana sana, wengi wao wanatarajia kupewa advance ndipo waanze ujenzi!! So, assume construction ni ya abt TZS 50 Billion, na moja ya vigezo, contractor anatakiwa kuwa annual turnover ya say TZS 5 billion! Je, ni kampuni ngapi zinaweza ku-compete on their own?!
Binafsi, sioni tatizo katika kuungana hasa kwavile nafahamu kampuni nyingi kimtaji ni magumashi! Kinyume cha hili, basi kampuni nyingi zitaishia kazi za kuchimba mitaro na kujaza udongo kwenye barabara za vijiji! Tatizo ninaloona mimi ni nia na dhati ya serikali ya kutoa hizo tenda kwa local companies pale wanapokuwa tayari wamekidhi vigezo!
4) Khoja ya kuwa kampuni za kizalendo hazina mitaji ni khoja ambazo zinashindwa kukiri kuwa jukumu la serikali ni kuwajengea mazingira mazuri raia wake kuweza kutatua matatizo ya nchi yao badala ya kuwakandia. Jukumu la serikali ni kujenga mazingira ya utoaji wa mikopo isiyo na riba ya kununulia mitaji ili kazi karibu zote zifanywe na wazalendo na kuliinua soko la ajira la hapa nchini.
Duh hali ni mbaya sana kumbe!! Coz hata hizi pesa za mabarabara za World Bank zinapitia manispaa yaani ni uchakachuaji kwa kwenda mbele...bora zingeenda moja kwa moja kwa moja kwa mkandarasi...We have long way to go
Magufuli anajiandaa kuingia Ikulu so 10% ni muhimu kutunisha mifuko
Ameshuhudia live swahiba wake -Raila akigaragazwa kama kuku, lazima ajipange
Ruta,NasDaz serikali kuu ndiyo chanzo cha haya yote. TUnapaswa kujifunza kutoka Kenya uwajibikaji umeongezeka maradufu kwa sababu magavana wanachaguliwa moja kwa moja na wapigakura hakuna cha DED kuletwa na serikali kuu. Ajira zote ni jukumu la madiwani na hakuna kuhamishwa kwenda kaunti nyingine.........bila ya kujenga upysa uwajibikaji kwenye Manispaa na Halmashauri tutajikuta kila siku tunalaumiana tu!
WITH due respect SIR, next time usinitajie TAKUKURU....wananichefua hawa wadudu hadi najisikia hasira kila ninapokutana na jina lao! Next time just use Corruption Endorsement Gang or simply CEG....nitakuwa nimekuelewa unamaanisha nini!NasDaz Angalau ajira imebakia nyumbani. Sasa hao takukuru wao kazi ni kuchapana risasi tu na kulipana mishara na posho bila ya kuvuja jasho?