Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Hello MMU.
Wakati umewadia, kibubu kimejaa na kusheheni mapene bila kuwekewa wala kusaidiwa fullu jasho langu.
Hapa niko on the way to vacation nikifika ntawajuza habari za huko. This time sea shell hahahaa, asante mola kwa kunipatia riziki hii nakula ujana. Likizo time ndo hiyo niwatakie MMU wote Happy Festive Season mie ndo hivo nshaanza kuinjoikuserebuka hure.
Halafu kuna tabia inanikera, kuna watu mnawasiliana vizuri hata mnatoka nje ya JF halafu mtu huyohuyo anakuja na ID ingine anaanza kukuongelesha kimitego. We unayefanya hivo to me u r immature na huwa nawagundua mapema nawakimbiza tuu.
Usiku mwema.
Kasie.