BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Nakukumbuka nlivyokupita na ka TOYO kangu T...CFK upande wako nkakucheki ukajidai unabadili gia dakika zote izo pale karibu na ubalozi
Hata sisi wa toyo tuna mvuto sana tu sema ningevua helmet pale traffic angepiga cha juu.
Just thinking of you Kibito lady
Na leo kulivyokuwa na foleni plus hali ya hewa nyevu, sina uhakika kama kufuli lako lilipona na mvua za masika...
Hahahahah
Kitoyo hakina mvuto
Mpaka uvue helmet leo????!!!!
Uliniingia ungenipungia mkono mara nilivyokupungia ningefuata kwa nyuma hata kama unaishi Tegeta au Bunju, usijali Kasinde tutaonana tena kesho maeneo ya maktaba kama si foleni nitakuwa maeneo yale mida ya saa moja unusu, mie nipo bandari TPA na mwenzangu? naomba sasa ulale jamani.
Hiyo inatokeaga dana afu kama wewe hapo ulikuwa unatamani umfate namanga kama nakuona vile mlivyopotezana kwenye foleni ukawa unapepesa macho. KakaKiiza embi tusaidie nissan.....AQN hapo namanga si ya msafiri kweli??
Duuuh, mapenzi yana siri kubwa.
Subiri PM yake, lazma yupo jf na in no time he will inbox you....Mengine utaleta mrejesho!!!
..... am afraid the guy is likely to be occupied.Hadi raha . Keep looking , maybe just maybe
He is the one lol . Hope you are both single & " searching "
-🙂
Nakukumbuka nlivyokupita na ka TOYO kangu T...CFK upande wako nkakucheki ukajidai unabadili gia dakika zote izo pale karibu na ubalozi
Hata sisi wa toyo tuna mvuto sana tu sema ningevua helmet pale traffic angepiga cha juu.
Just thinking of you Kibito lady
Ooooh!!!! tommorow the same time i will be in the same way byb
Hapo utakua umependa nissan kwa vile wewe umo ndani ya vitz yako ya mkopo, mbona ma hb kibao tunao endesha boda boda na Bajaj unatuona na sana sana unatubania hata site tu?