Kasie Chombo... 2019

Kasie Chombo... 2019

Ha ha ha ha ha,inabidi kucheka tu; Kasie ni Choomboo cha 2019...
 
Ha ha ha ha ha,inabidi kucheka tu; Kasie ni Choomboo cha 2019...

Hahahahhahahahaaa unaona eeehh
Raha jipe mwenyeweeee aka selfie....

Ukijikubali utakubalika tuuu ....

Choomboo Choomboo Cheusi Mangala ....
 
Kasie kuna mtu alikuja na tuhuma za kumdhulumu, ulimpeleka mpk kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Whaat...!!! I didn’t get that accusation, can he/she show up himself here...!!??

Me take somebody to my home..... naah Dadii mwenyewe badoo tunakula Mahaba tuu sasa nani anampiku Dadii....

Unajua home ni last resort ehh...
 
Hapa nilipo naelekea Mbudya mida hii kurudi majogoo, msiulize niko na nani....

Hapa naandika kwa step....nisikosee hahahahahahhaaa
 
Hahahahahaa umenikumbusha aiseeh

Kuna K Band muda si mrefu itaanza kutoa huduma za mziki kwenye kumbi mbalimbali. Andaeni makanyagio tuu maana K Band ni zaidi ya Matata hehehehheee

Kasie Band......

Choomboo Choomboo Kasie Cheusi Mangala ..... kigagula Choomboo Choomboo.....

Ukiona hujatikisa kichwa au miguu kwenye bongo fleva yeyote basi wewe umri umekutupa mkono zaidi ya Kasie, vumilia tuu kero za kigagula Kasie Matata hehehheeee.

Ila nasikiaga kuna ma team sijui team nini na nini.....

Sonata team mimi zaidi ya Mahaba, wenyewe team zenu sukutueni maji ya chumvi tuu.

Choomboo Choomboo....


Nakualika nyumbani leo usiku uje na zeze huku ukiniimbia wimbo huu huu ili nijilalie vizuri. Una-charge kiasi gani kuni imbia in private?
 
Nakualika nyumbani leo usiku uje na zeze huku ukiniimbia wimbo huu huu ili nijilalie vizuri. Una-charge kiasi gani kuni imbia in private?

Jumapili hapana, sema siku ingine.
Kuhusu gharama ntakuletea bili, kama uko peke yako bei itakuwa mara tatu yake kama mko wawili na kuendelea bei ya kawaida tuu.
 
Jumapili hapana, sema siku ingine.
Kuhusu gharama ntakuletea bili, kama uko peke yako bei itakuwa mara tatu yake kama mko wawili na kuendelea bei ya kawaida tuu.


Shhhhhh, usiongea kwa sauti kubwa sitaki mumeo asikie. Ni hivi, nitakuwa peke yangu na kuhusu gharamu usihofu sana tutajadiliana tu. Jumatatu usiku wa saa 4 inawezekana?
 
Shhhhhh, usiongea kwa sauti kubwa sitaki mumeo asikie. Ni hivi, nitakuwa peke yangu na kuhusu gharamu usihofu sana tutajadiliana tu. Jumatatu usiku wa saa 4 inawezekana?

Basi shaka ondoa, deal done. Ila vigezo na masharti vitazingatiwa... umri.
 
Back
Top Bottom