Kasi ya waziri wa ardhi imeishia wapi

Kasi ya waziri wa ardhi imeishia wapi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
kp04122012.jpg
 
Nguvu ya soda wametutishia kuvunja nyumba za uvukweni wakapigwa biti na wenye inchi
 
Imeishia kwenye kikao cha kamati kuu ya sekretarieti ya chama
 
Aliipenda kazi lakini chama kilimpendeza zaidi
 
Tanzania Itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno
 
Tatizo aligusa maeneo nyeti yenye maslahi ya wakubwa, najua kipanya anachokoza tu...........
 
Chezea mafisadi weye? TANZANIA zaidi ya uijuavyo
 
Back
Top Bottom