wauza Ngada Mwafaa
Senior Member
- Mar 25, 2017
- 158
- 224
Chadema wameweza kufanya haya kwa nchi yetu kwa muda mfupi Sana mara tu baada ya Lowasa kujiunga na chama chao,.
Hata kabla ya kushika dola chadema tumekuwa na ujasiri wa kuifanyia haya nchi yetu pendwa Tanzania.
1. Kutetea kila aina ya wakwepa kodi
2. Kutetea na kupokea kila aina ya fisadi wa nchi hii
3. Kupinga watu wasilipe kodi.
4.Kutetea wauza madawa ya kulevya na kuwakumbatia kwenye chamá chetu.
5. Kupinga hadharani viroba visifungiwe, hivyo kuhamasisha Viana waendelee kutumia viroba.
6. Kupinga serikali kubana matumizi ,ikiwemo kujenga hosteli za bei nafuu pale UDSM.
7. Kupinga serikali kuzuia safari za nje.
Maana yake sisi tukishika dola, watu watasafiri nje kama wanavyotaka.
8. Kupinga mkandarasi aliyechelewesha kwa makusudi mradi wa maji Lindi asinyang'anywe passport .Hivyo sisi tukiingia madarakani wakandarasi hata wakichelewesha mradi itakuwa poa tu.
10. Tumeweza kuwachangia pesa watu wanao tukana matusi mitandaoni ili wasiende jela.
11. Tumeweza kutetea wazembe kazini, na kuwakumbatia wote waliotumbuliwa.
12. Sasa hivi wanapinga zuio la rais la kutosafirishwa mchanga wa dhahabu nje ya nchi. Maana yake hawa wapinzani wanataka dhahabu yetu iendelee kusafirishwa nje ya nchi??
Swali la kujiuliza kama wameweza kufanya haya kabla ya kushika dola, je tukishika dola itakuwaje??
Watanzania tuwakatae