jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Ukisikia kukurupuka ndio huku au pia ukisikia bora liende tu....!!!
Baada ya kumbinya Mbowe na genge lake juu ya uteuzi wa katibu mkuu hatimaye akakurupuka na kuja na huyu KATIBU MKUU WA MAJARIBIO.
Eti Seriously huyu katibu mkuu kaletwa kuikabili nguvu ya Magufuli....hiki ni kituko cha karne.
Mimi naona ni wazi kuwa kiwewe cha kuiona kasi ya Magufuli kinawafanya Chadema wapagawe na sasa kile kifo cha mende ndio kimekuja rasmi.
Tuliwahi kumzungumzia Katibu wa Bavicha bwana Katambi kuwa asingetosha lakini tukaaminishwa anaweza na matokeo yake yako wazi...sasa hili bomu la sasa hivi ni zaidi ya Katambi....
Kuna argument za kitoto sana eti huyu ndiye aliyekuwa anachora mipango ya chini kwa chini ya Chadema....ukiuliza ni mipango ipi hutapewa jibu...!!
Eti kuna usanii mwingine utaambiwa huyu jamaa ni msomi.....ha ha ha ...kama kweli chadema inataka wasomi basi wa kwanza kuangaliwa ni Mwenyekiti wao....