Kasi ya CCM haizuiliki

Kwa kweli ccm tunatumia sana nguvu kumnadi mgombea wetu. Hauziki hata kidogo yeye naye kazi yake comedy tu majukwaani. Lowassa kama Messi haziliki.
 

Kwanza hapo ulipo hamna mgao wa umeme???

Bila wasanii makufuli kwisha kazi!!
 
Umeandika nini sasa? Jifunze kujenga hoja kijana
 


Mtoa mada unashindwa hata na kibabu?
Yeye ametokea huko huko na ameona kabisa sisiem mwaka huu kifo cha mende we bado tu unaendelea kuifagilia!!
Ivi kati ya magufuli na Lowasa Nani ana Sera bora kuliko mwenzake!!
usiandike vitu kama mjinga usie na akili tumia akili yako vizuri.
 
Hata mtoto mdogo haitaki CCM ukibisha pita nursery skul uulizie
 
Jamaaa wamedata,mpaka wanajimbea kura majukwaan kwao
 
Vijana CCM, wazee CCM, watoto CCM,Ushindi mnono
 

Huenda kasi unayoizungumzia kwa CCM, ni kuelekea kwenye kuanguka au kupoteza uchaguzi mkuu wa oktoba 25, 2015. CCM wanakwenda kwa kasi ya ajabu kupoteza viti vingi vya udiwani, ubunge pamoja na urais.
 
Maghufuli hata wasipompingia kura atakuwa rais wa Tanzania kwa lazima hatuwezi kumpa nchi MTU ambaye hayuko physically and mentally fit.

Mtakutana na nguvu yauma!,harafu watanzania waleo huwezi ukatutishia mjusi,nenda kamtishie hawara yako.
 

Hauna lolote lakusema kaa kimia na rudi uwani na jipange upya. Nchi ipo gizani una kazana kampeni zipo safi za mgombea wenu. Mbona nikama husomi nyakati. Acha ushabiki na huu ushabiki ndo uliotufikisha hapa.
Ambocho ccm hamjui ni kwamba swala sio mgombea wenu wala wa UKAWA, hapa tunahitaji mabadiliko ya kimfumo. Juweni kwamba mfumo wa ccm tumeucho twahitaji kuona watu wengine wapya watakao kuja ma mfumo mpya tofauti na tuliouzoea wa ccm. Kwa ufupi nikwamba, watanzania walio wengi, waichoka ccm na ndo maana inaelekea kuanguka.
Hongeni watu elf tano au kumi ili waje kwenye kampeni zenu, ila wana sema "kula na ccm na kura ni kwa UKAWA." Kwahio musijidanganye muta aibika mwisho wa siku. Viva chadema, viva UKAWA na viva Lowassa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…