Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Miaka 4 sasa watumishi tunaishi kwa ujanjaujanja tu. Mishahara yetu midogo tuliikopea bank ili tufanye mambo ya maendeleo kama kujilipia ada, kununua viwanja, kujenga au kufungua biashara. Tulikubali kukopa mikopo ya muda mrefu tukijua tutakutana na nyongeza ya Rais, annual increments au vyeo vipya vyenye mishahara mipya, lakini ikawa kinyume chake. Sasa nasikia wanataka kutuongezea makato tena kwenye kasungura ketu kadogo through nhif.
Sasa nitanzaje kumshangilia Mwakinyo?
Apambane akishinda ajiongezee chati kwaajili ya maisha yake ila mimi simshangilii leo.
Kwakuwa si suala la kikatiba basi nina haki ya kuishangilia timu ya taifa lolote wanapocheza na T- Stars.