Kasi mpya ya NHIF imeniharibia siku, imenifanya nipuuze mambo ya kitaifa. Sasa hivi sitashangilia Taifa stars. Naanza na kumshabikia Mfilipino leo

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,226
Points
2,000

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,226 2,000
Miaka 4 sasa watumishi tunaishi kwa ujanjaujanja tu. Mishahara yetu midogo tuliikopea bank ili tufanye mambo ya maendeleo kama kujilipia ada, kununua viwanja, kujenga au kufungua biashara. Tulikubali kukopa mikopo ya muda mrefu tukijua tutakutana na nyongeza ya Rais, annual increments au vyeo vipya vyenye mishahara mipya, lakini ikawa kinyume chake. Sasa nasikia wanataka kutuongezea makato tena kwenye kasungura ketu kadogo through nhif.
Sasa nitanzaje kumshangilia Mwakinyo?
Apambane akishinda ajiongezee chati kwaajili ya maisha yake ila mimi simshangilii leo.
Kwakuwa si suala la kikatiba basi nina haki ya kuishangilia timu ya taifa lolote wanapocheza na T- Stars.
 
Katumbasongwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Messages
216
Points
250

Katumbasongwe

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2018
216 250
Miaka 4 sasa watumishi tunaishi kwa ujanjaujanja tu. Mishahara yetu midogo tuliikopea bank ili tufanye mambo ya maendeleo kama kujilipia ada, kununua viwanja, kujenga au kufungua biashara. Tulikubali kukopa mikopo ya muda mrefu tukijua tutakutana na nyongeza ya Rais, annual increments au vyeo vipya vyenye mishahara mipya, lakini ikawa kinyume chake. Sasa nasikia wanataka kutuongezea makato tena kwenye kasungura ketu kadogo through nhif.
Sasa nitanzaje kumshangilia Mwakinyo?
Apambane akishinda ajiongezee chati kwaajili ya maisha yake ila mimi simshangilii leo.
Kwakuwa si suala la kikatiba basi nina haki ya kuishangilia timu ya taifa lolote wanapocheza na T- Stars.
Acha uvivu, chapa kazi,ulikua mpigadeal wewe so bure! Itasomeka tu subirini!
 
Twamo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Messages
1,632
Points
2,000

Twamo

JF-Expert Member
Joined May 27, 2017
1,632 2,000
Hii sasa dharau! Aliongeza makato ya bodi ya mikopo kutoka 8% - 15%! Anaongeza tena NHIF 3% hadi 6%! Kamshahara kenyewe ni kalekale ka mkwere! Huyu mzee mbona anaroho mbaya kiasi hiki?
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
6,022
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
6,022 2,000
Miaka 4 sasa watumishi tunaishi kwa ujanjaujanja tu. Mishahara yetu midogo tuliikopea bank ili tufanye mambo ya maendeleo kama kujilipia ada, kununua viwanja, kujenga au kufungua biashara. Tulikubali kukopa mikopo ya muda mrefu tukijua tutakutana na nyongeza ya Rais, annual increments au vyeo vipya vyenye mishahara mipya, lakini ikawa kinyume chake. Sasa nasikia wanataka kutuongezea makato tena kwenye kasungura ketu kadogo through nhif.
Sasa nitanzaje kumshangilia Mwakinyo?
Apambane akishinda ajiongezee chati kwaajili ya maisha yake ila mimi simshangilii leo.
Kwakuwa si suala la kikatiba basi nina haki ya kuishangilia timu ya taifa lolote wanapocheza na T- Stars.
Matatizo yako yasifanye uchukie kila kitu mkuu
 
google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
6,022
Points
2,000

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
6,022 2,000
Kwa ufupi ni kwamba kuanzia mwezi January 2020 NHIF wanaongeza makato mpaka kufikia 40,000/= kutoka 18,000/=
Usiogope mkuu ni pesa kwa ajili ya kampeni, kulipa wasimamizi wa uchaguzi, vifaa na gharama za mafuta ya kubebea makaratasi ya uchaguzi si unajua pesa zinafanya mambo ya maendeleo kama kununua bomba la dia , treni ya standard gauge nk
 
Forum statistics

Threads 1,381,210
Members 526,018
Posts 33,792,612
Top