Kashilila wacha kuwadhalilisha wanawake kijinsia!!!

Kashilila wacha kuwadhalilisha wanawake kijinsia!!!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
11,872
Reaction score
18,156
Mhe. huyu sana; Katibu wa Bunge amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima akisema "Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili waonekane…kwa kweli sisi tunaokaa tunaona mambo mengi na mengine yanasikitisha,"

Maswali:
  1. Hivi kuvalia kikweli kweli ni kwa namna gani?
  2. Ulitaka wavae namna gani?
  3. Wewe ulipovaa hiyo suti wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari ilikuwa ni kwa sababu ulitaka tuione kwenye runinga na magazeti?

Wacha kudhalilisha hiyo PhD yako! Au ni Phd ya kudesa?!
 
Kwa hiyo mkuu kusema "kuvaa kikweli kweli" ni kuwadhalilisha??

By nature women are seeking AFFECTION hilo halina ubishi..so katoa tu psychological fact
 
always women are victims. tusipovaa mtasema tukivaa mtasema tukiongea mtasema tukikaa kimya mtasema. ndio maana hata kwenye tume ya katiba wanawake wengi walikuwa nyuma sana kutoa maoni yao manake always we are victims.

ila mtoa mada iyo kashfa uliyomalizia nayo hapo chini imeonyesha kwamba una chuki binafsi na mhe.
 
Kwa hiyo mkuu kusema "kuvaa kikweli kweli" ni kuwadhalilisha??

By nature women are seeking AFFECTION hilo halina ubishi..so katoa tu psychological fact
asigwa kama ukiisoma aya yote utagundua imebeba sura ya dhalili manake alicho malizia yeye huyo mheshimiwa eti wanaona mambo megi mengine yanasikitisha ana maanisha nini?? kwamba kwa kuvaa kwa wanawake ni kuwasiitisha??
 
Last edited by a moderator:
“Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili waonekane…kwa kweli sisi tunaokaa tunaona mambo mengi na mengine yanasikitisha

Labda amenukuliwa vibaya, maana haingii akilini kwa Katibu wa Bunge kutoa maneno ya kipuuzi kiasi hicho!
 
Mhe. huyu sana; Katibu wa Bunge amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima akisema “Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili waonekane…kwa kweli sisi tunaokaa tunaona mambo mengi na mengine yanasikitisha,”

Maswali:
  1. Hivi kuvalia kikweli kweli ni kwa namna gani?
  2. Ulitaka wavae namna gani?
  3. Wewe ulipovaa hiyo suti wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari ilikuwa ni kwa sababu ulitaka tuione kwenye runinga na magazeti?

Wacha kudhalilisha hiyo PhD yako! Au ni Phd ya kudesa?!

Sijui ni PhD ya wapi au ni zile zile za "KUKOPA" kama za Nchimbi na Kamala". Huyu bwana = 0. na ukimchanganya na Bosi wake bi Kiroboto ambae nae = 0 hupati kitu. (0 + 0 = 0)
 
always women are victims. tusipovaa mtasema tukivaa mtasema tukiongea mtasema tukikaa kimya mtasema. ndio maana hata kwenye tume ya katiba wanawake wengi walikuwa nyuma sana kutoa maoni yao manake always we are victims.

ila mtoa mada iyo kashfa uliyomalizia nayo hapo chini imeonyesha kwamba una chuki binafsi na mhe.

......

Wala siyo chuki binafsi! Hatutegemei wala kufikiria mtu mwenye elimu ya kiwango chake na ambaye anapata wasaa wa kuonana na watu mbali mbali kutoa kauli za namna hiyo kwa wanawake!
 
Wala siyo chuki binafsi! Hatutegemei wala kufikiria mtu mwenye elimu ya kiwango chake na ambaye ananapata wasaa wa kuonana na watu mbali mbali kutoa kauli za namna hiyo kwa wanawake!

.......

Sijapinga mawazo yako ila sasa kosa halisahihishwi kwa kosa ujue. ulipaswa kuonyesha kustaarabika ili yeye akiisoma post ajue kweli kuna mtu kipanga kaona weakness yangu. but ulivyoiandika ni kama vile ni msema hovyo tu kaandika kumbe si hvyo.

Ni ushauri tu lakin samahan
 
sijapinga mawazo yako ila sasa kosa halisahihishwi kwa kosa ujue. ulipaswa kuonyesha kustaarabika ili yeye akiisoma post ajue kweli kuna mtu kipanga kaona weakness yangu. but ulivyoiandika ni kama vile ni msema hovyo tu kaandika kumbe si hvyo.

ni ushauri tu lakin samahan
Nashukuru sana kwa ushauri wako. Lakini hii inatokana na hasira nilizonazo kwake kwa kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya bunge kwenye runinga!
 
Msiambiwe ukwel na nyie bana;labda jamaa mnamvutia sana na mnachochea UKAHAB& bungeni;Huwez jua bana itabid kashilila atuambia yeye ina muathiri nn mkipendeza?
 
Wala siyo chuki binafsi! Hatutegemei wala kufikiria mtu mwenye elimu ya kiwango chake na ambaye anapata wasaa wa kuonana na watu mbali mbali kutoa kauli za namna hiyo kwa wanawake!

.
Haya ni madhara ya walioteuliwa kuwasimamia waliochaguliwa.
Aliyeteuliwa ni kibaraka wa aliyemteua wakati,
Aliyechaguliwa ni mtumishi wa waliomchagua.
.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako. Lakini hii inatokana na hasira nilizonazo kwake kwa kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya bunge kwenye runinga!

usifanye haraka kukasirika manake hasira huka kifuani mwa mpumbavu.

nakutakia kwaresma njema na jina la Mungu wa Ibrahim likuinue.
 
Hapa mtoa hoja hajakosea sn.katika kutafuta udhaifu wa hoja ya m2,c lazma uwe na point moja.point ya kudhalilisha wanawake ni point nzr tu,whether ina nguvu ndogo au kubwa.ila kikubwa nionavyo,ni mheshimiwa kuongea upuuz m2pu katka kufikisha hoja ya kutorusha matangazo ya bunge.huwez kuongelea mambo ya chama kimoja zama hizi!et vle hawakurushwa live,kulikuwa na u2livu!pathetic!kuvalia vzr ndo kuna uhusiano gan na kwenda kuongea?kwn cku zngne wasipoongea hawaonekan?au camera znanasa wanaoongea tu?au wewe kashilila ndo unawakagua nguo?kumbe kaz yako kuchunguza wake za watu wamevaaje!aibu kwako.hv unaweza ukawa kiongoz kwel wewe?shame on him!
 
Mhe. huyu sana; Katibu wa Bunge amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima akisema "Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili waonekane…kwa kweli sisi tunaokaa tunaona mambo mengi na mengine yanasikitisha,"

Maswali:
  1. Hivi kuvalia kikweli kweli ni kwa namna gani?
  2. Ulitaka wavae namna gani?
  3. Wewe ulipovaa hiyo suti wakati wa kuzungumza na waandishi wa habari ilikuwa ni kwa sababu ulitaka tuione kwenye runinga na magazeti?

Wacha kudhalilisha hiyo PhD yako! Au ni Phd ya kudesa?!

Chezeautatandawazi weye watu wanapata vyeti bila kukanyaga Darasani! Siku zote yukobungeni kesho unasikia ana PhD! Uliza Thesis yake aliandika nini?Anaweza kwambia njoo baada ya wiki moja nitakuatfutia!

Wabunge wa viti maalumu ni mizigo na kwa kweli wabunge Hawa wa vyama vyote ccm na upinzani wanashindana kubadilisha Nguo bungeni na kununua vipodozi! Kwa ccm wenye uafadhali ni ester bulaya , chadema rose Kamili,pareso, na kwa CUF ni mama Magdalena Sakaya.

Wengine viti maalumu ni wapiga Makofi na kujiremba, namuunga mkono clerk of the National Assembly hivi viti maalumu ni mizigo kwa taifa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom