Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar


Masatu, nikisoma mambo kama hayo uliyoandika jazba linanipanda... wewe acha tu... yaani hata mawazo maovu ya kuteketeza viongozi wetu ili kupata maendeleo yananiingia kichwani
 
As long as Chenge yupo pale Miundo Mbinu ujenzi wa Daraja la Kigamboni utabaki kwenye makabati wizarani na ndoto isiyo timia.

Sijui katoroga nani Watanzania, wafadhili wapo tayari, financier ( wa ndani ) yupo tayari tatizo nini?
 
As long as Chenge yupo pale Miundo Mbinu ujenzi wa Daraja la Kigamboni utabaki kwenye makabati wizarani na ndoto isiyo timia.

Sijui katoroga nani Watanzania, wafadhili wapo tayari, financier ( wa ndani ) yupo tayari tatizo nini?
Chini ya mheshimiwa wa miundo mbinu Daraja lazima litajengwa lakini litakuja kama IPTL, RDC, RADAR,NDEGE YA RAIS etc
 
Hata Ktk Vitabu Vya Mungu Imeandikwa, Ufisadi Ukizidi Huondoa Maarifa Kwa Hiyo Viongozi Wanaotuongoza Sasa Hivi Ni Sawa Na Marehemu.

Kwa Sababu Badala Ya Kuboresha Bandari Ya Dar Na Tanga Ambazo Tayari Zipo Wanatuletea Mipango Ya Kiuabunuasi Eti Wanataka Kujenga Bandari Mpya Bagamoyo,kwanini Wasijenge Daraja La Kigamboni Ambalo Gharama Yake Ni Ndogo Kisha Wakapanua Eneo La Bandari Kuelekea Kigamboni?

Angalia Aibu Inayotupata Sasa Ukituma Conterna Kutoka China Kwenda Dar Ili Upate Mzigo Wako Itakuchukua Miezi Minne Wakati Ukutuma Mzigo Kwenda Mombasa Ni Siku 21 Tu, halafu Hawa Fisadi Wanatuambia Eti Kasi Mpya, Kudaadek
 
I am still not convinced na hili na bado nitaendelea kutumia bandari ya Mombasa. Kama naweza kutoa kontena langu in a day in Mombasa na kulipa laki 3 zaidi kwa hilo then i dont mind kuliko kontena kukaa Dar miezi 4 huku TRA na COTECNA wakiwa hawajui wanalolitaka



 
more damaging news:



http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/News/news170320089.htm
 
Chini ya mheshimiwa wa miundo mbinu Daraja lazima litajengwa lakini litakuja kama IPTL, RDC, RADAR,NDEGE YA RAIS etc

Tatizo ni kuwa huyu Chenge ameamua kutunisha misuli kwenye issue muhimu kama hii. Hii ni kali kuliko hata ile ya Mramba kuwa watz wale nyasi.
 
http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/Business/biz1703200810.htm
 
Kuna bwana mmoja kaleta matrecta na computers ndani ya contena,Kajikuta anapigiwa alipie ushuru wa computers pia.
Kuna habari kuwa baadhi ya meli zimeamua kugeuza na kwenda kupakulia mzigo Mombassa baada ya kusubiri kwa muda mrefu bandari ya Dar kwa ajili ya upakuzi.
 


BINADAMU YOYOTE MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUTUMIA BANDARI YA DAR

 
mambo ya aibu sana na ni kwa sababu ya hao watu wasiojua kitu ila 10% tuu na incompetence,hiyo port ingekuwa efficient ingetuingizia zaidi ya pesa ambazo JK anadai zinakuja kutokana na safari zake,angalia hiyo news hapo chini nimeitoa sehemu na imeonyesha jinsi TZ tulivyopoteza pesa kutokana na wapuuzi wachache wasiojua wanafanya nini? can you believe tumepoteza billion dollar just for 2005 yr? hivi hakuna namna media wanaweza kupush hii kitu ili kupata specific kutoka kwa hao kina chenge,i mean DARAJA na huko PORT!!

The African Union has found that Africa loses $150-billion each year through foreign companies avoiding taxes. Tanzania recently announced that it lost $207-million in 2007 because of under-declaration of mining profits, while it lost $1 045-billion in 2005 for the same reason.
 
On top of everything that has been said, the buck stops at Kikwetes desk. Kikwete as I have pointed out is not focused on appointment by merit. After the Mkapa contract extension fiasco, awarding Karamagi the irregular extension, Kikwete added fuel to the fire by appointing a very junior port official to become the CEO pale TPA.The guy is inexperienced and has no track record to deal with these challenges at all.Kikwete took him from assistant port manager to CEO with no strategy.

When I saw that I knew, with all the contaner terminal challenges TPA was going nowhere fast.
 

I agree with you. We've seen no vision, no big policies, no response to our problems. It's typical JK leadership style; willing to take credit for everything and responsibility for nothing

For what precisely does he stand for? State or market? Top down or bottom up? Meritocracy or egalitarianism? Left or right?

I honestly dont know

but

I know in the wake of recent corruption scandals, CMM are the biggest disaster for Tanzania, be it JK or PINDA in charge, be it KARUME, SHEIN or MEMBE in position, they are completely useless, wreckers, incompetent, and in positions well above their inteligence, ability and commonsense.
 
I am beginning to believe the name fits perfectly: "Tanzania, the sick man of East Africa."

How else can one explain, such a much endowed and blessed country, yet keeps fumbling about, not knowing what to do?

Dar, Tanga, Mtwara - kila mara maneno matupu!
 

Its fair to say JK is a conman full stop with his side kick Pinda what chance do we have for the future? Mark my words it will be Membe we be berating because that is another pest who will do anything for power.

What a state we are in today the majority of the public don't care about who is in and that is the way CCM likes it - apathy rules, but they should care because they have totally destroyed Tanzania in 4 decades it is gone forever and most of the public sleep walked right into their trap.

I just cant understand why its easier and simple for me to get my container out of Mombasa port than Dar.

says alot about isnt it?
 
Jameni, matatizo yetu ni makubwa, na hata wakati mwingine ni vigumu kuelewa ni kwa nini hatuwezi kufanikiwa kutatua hata tatizo mojawapo tu kwa ufanisi kabisa, na tukaanza kulitumia kama mfano mzuri wa kuigwa.

Hili tatizo la bandari zetu, hasa hasa hii ya Dar, hivi sababu hasa ni nini? Mipango mibaya, kushindwa kiutendaji au yote kwa pamoja?

Ni dhahiri, sote, pamoja na viongozi wetu wanaelewa wazi umuhimu wa bandari hii, sio kwa Tanzania tu, bali kwa nchi zote zilizo tayari kuitumia. Ni kitu gani kinachotushinda kuifanikisha ifanye kazi nzuri kama ile ya Mombasa?

Basi, napendekeza kwa 'spirit' ya EAC tuwaombe washiriki wenzetu hawa wa Mombasa waje watuendeshee bandari yetu hii ya Dar kwa ufanisi; kwani inaonekana wao wana uzoefu mzuri na kazi hii!

Kama hatutaki hao wa Mombasa, nina hakika kabisa Rwanda na Uganda wakipewa kazi hiyo wataifanya vizuri zaidi hata kuliko Mombasa. Kama hatutaki kuwapa Dar, basi tuwape waendelezee Tanga, (of course kwa maelewano ya malipo).

Inauma roho sana kuona kila jambo tunalolifanya sisi tunashindwa, sijui tunayo matatizo gani!
 

Tanzania ni Taifa la watua wajinga na punguani na hasa waongozanjia(Viongozi).Hakuna sekta inayoonyesha nafuu, lakini bado utaona watu wanakuja hapa kuhalisha upuuzi huu. Na bado Watanzania mpaka tule nyasi ndo akili zitatuingia.Nchi haina viongozi bali inawatawala malimbukeni. Bandari ilibinafsishwa ili kuboresha huduma. Tumeshindwa kufikia hayo malengo kwa kuwa nia ya ubinafsishaji ya CCM haikuwa kuboresha bali kugawana.
 
Nimemaliza kutazama DVD ya presentation a bi SENKORO wa TPA London mbele ya ma investors sikuamini...AIBU TUPU!

hivi huyu mama anafanya nini pale BANDARI?
 
Nimemaliza kutazama DVD ya presentation a bi SENKORO wa TPA London mbele ya ma investors sikuamini...AIBU TUPU!

hivi huyu mama anafanya nini pale BANDARI?

Hebu angalia data hizi ujue tofauti ya Msa na Nbi

TICTS DAR ES SALAAM

FACILITIES

Total Area (hectares) 12
Container Berths 3
Total Berth Length (m) 550
Depth Alongside (m) 11.5
Container Quay Cranes 3
Rubber Tyred Gantry Cranes 13
Front End Loaders 14
Forklifts 19
Reachstackers 1Reefer Plugs 76
Bonded Warehouse Area (sq m) 12,000

Equipment
HANDLING APPLIANCES - 2004 MOMBASA PORT

1.TRAVELLING CRANES 17
5 Tonne Cranes 17
7 Tonne Cranes 5
10 Tonne Cranes 2
7-20 Tonne Cranes 2
15 Tonne Cranes 8

2. PORTAL ELECTRIC FIXED CRANES
3 Tonne Cranes 3

3. ELECTRIC OVERHEAD TRAVELLING CRANES
2 Tonne Cranes 1
3 Tonne Cranes 1
10 Tonne Cranes 1

4.UNDER HUNG JIB
1.5 Tonne Cranes 8
Wall Bracket Cranes 6

5.FORKLIFT TRUCKS
1.5/2/3 Tonne 34
5 Tonne 11
10 Tonne 6
16 Tonne 6
6. TRACTORS 4

7. MOBILE CRANES
5 Tonne Cranes 2
11 Tonne Cranes 6
15 Tonne Cranes 1
25 Tonne Cranes 3
35 Tonne Cranes 1
43 Tonne Cranes 1(Ksm)

8.GANTRY CONTAINER CRANES
40 Tonne ship to shore cranes 4
40 Tonne Rubber Tyred 11
40 Tonne Rail Mounted yard cranes 2

9. 40 Tonne Top Loader 3

10. 40 Tonne Reachstakers 13

11. Terminal Tractors 62

12. Empty Container Handlers 2

13. Lorries/Mini Bus 12

14. Fire Engine 2


Hebu jamani fananisheni uwozo wetu ambao TICTS(Karamagi&Co) wanadai wameleta investment kubwa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…