Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

Lets hope haya maamuzi ya Mwakyembe yatasidia kufanya mambo yanyoke
 
Bongolander

How in the world the private security company conduct check up in the airport. Tanzanian is dead, and trust me i'm not responsible for the funeral.

Things and events happening in Tanzania you will only find here in Tanzania, I repeat again, only in Tanzania! Nowhere else you will find these rubbishes/vomits you call it sijui utawala bora, maisha bora kwa kila Mtanzania while the country is in total shumbles!

At TPA and Airports(JKNIA,KIA)you will find TICTS and the Swissport doing business respectively. TICTS and Swissports companies are owned by Foreign investors but doing business in partnership with bigshots in CCM goverment. While at Airport you will find only Private and Foreign Airplanes,no national plane carrier. The so called AirTanzania is an imaginary national carrier, it doesn't exist at all! You will find them Precision Air,a private owned Airways with several planes while AirTanzania has none! Ask who owns this private Airways company. Surely you will get suprised if not frustrated. Among the owners are them Big shots in CCM government! They have decided intentionally to kill the national carrier to avoid a competition in domestic flights! Only in Tanzania.

You come to the TRC, the Tanzania Railways Corporation completely admitted at ICU! The train operates only once or twice in a week between Dar-Dodoma-Tabora-Kigoma and Mwanza.Sometimes service is not available for weeks if not months. You ask why is that happening. The government entity was taken by Foreingers strategic Investors, the Indians. The strategic Investor who cannot even pay salaries to its workers. Only in Tanzania.

You go to TAZARA. Same story and business as usual. Nothing is going there. Workers are not being paid! All the Management staff each owns a wagon/wagons to carry his/her own luggage to/from Tanzania/Zambia and the monies paid ends in his/her own pocket/account. Only in Tanzania.

This country is corrupt and cursed to the core. The ultimate solution for this curse is to overhaul the whole Government machinery and put a new system in place.
 

Ndugu yangu Kapuchi,

Are you a new comer in Tanzania? Naona umeuliza swali ambalo jibu liko wazi!

Kwamba nji hii ya Tanzania ili upate kazi basi you have to meet the 3 conditions hereunder:
  1. Uwe na Godfather kwenye sehemu uliyoomba kazi. Huyo Godfather atakusaidia kupata hiyo kazi hata kama huna sifa za kutosha.
  2. Kama huna Godfather basi uwe na PESA ya kuhonga(rushwa)ili upate hiyo nafasi.
  3. Kama wewe ni jinsia ya Kike na huna kati ya hizo 2 hapo juu, basi jiandae kwa rushwa ya ngono na utapata kazi kwa ulaini kabisa.
Nje ya kukamilisha moja ya hizi conditions 3 kupata kazi kwako itakuwa ni ndoto hata kama utakuwa na First Class Degree. Nakumbuka kijana mmoja alipeleka maombi yake kwenye one of our local Banks akiwa na CPA yake na ACCA(UK), uongozi wa Benki ulipoangalia CV yake wakamwambia kuwa hawawezi kumpa kazi kwa maana yuko OVER QUALIFIED!

Hii ndiyo Bongo bana. Mambo yanayotokea hapa Tanzania huwezi kuyakuta popote duniani. Ni Tanzania tu.
 
Bongolander

How in the world the private security company conduct check up in the airport. Tanzanian is dead, and trust me i'm not responsible for the funeral.

Yaani, this country bwana kila mahali matatizo tuuuuuuuu. Kila kukicha matatizo tuuuuuuuuu!Dead Dead Dead Dead!
 
Last edited by a moderator:
hii kesi inaweza kuchukua miaka 2

na hawa jamaa hawatolipwa kitu

sasa hapo ndipo mtakapooona legal system yetu iliyooza

Tell you what, the legal wrangle is purposely done hence u get tired and surrender. Then u loose the case.Disgusting!
 

Wa TZ tumieni bandari ya MOMBASA hadi hapo mafisadi watakaposhiba
 
Mimi na rafiki yangu tuliagiza magari 2 toka Japan. Meli iliyoyaleta ni Marine reliance 0V14. Gari moja lilikuwa lishushwe Mombasa na jingine Dar. Meli iliwasili Mombasa tarehe 28/5/2012. Kupitia Mombasa na Holili nilipata gari yangu tarehe 5/6/2012! Siku 7 tu. Wa Dar Es Salaam hadi leo hajatoa gari yake wakati ilishushwa siku moja baadaye!
 
Wewe muongo..hawezi kushindwa kutoa gari for 2 months..au hana hela ya kulipa ushuru
 
Wewe muongo..hawezi kushindwa kutoa gari for 2 months..au hana hela ya kulipa ushuru

Sio issue ya hela ya ushuru issue nihela ya kutoa rushwa. Haakuna utaratibu na rules za FIFO katika bandari yetu, money talks. Ukihonga vizuri gari yako inaweza kutoka kwa saa moja, usipohonga it may take forever.
 
ila mwakyembe katusaidia kidogo kuwafichua hawa majambazi kosa lake tu ni kuwa CCM
 
Tuna uhakika wa kuwa na bandari mbili mpya na za kisasa kabisa, moja tunaiweka Moshi na Moja tunaiweka Mbeya. Oooopsss, huko hakuna bahari.

Bwagamoyo na Mtwara.

Bandari ya Dar tutaiwacha iwe ya majahazi tu.

hahaaa! wewe Kikwete nini?
 

Sasa kaka solution zako kwa matatizo ya nyumbani ziko hasi tu. Inawewezekana watu kama wewe mkawa ni sehemu ya tatizo. Ubinafsi na rushwa vimekithiri hadi taifa linajikanga lenyewe, sasa toa mawazo tufanyeje wala usikate tamaa kama wewe kweli mbongo.
 
Lets hope haya maamuzi ya Mwakyembe yatasidia kufanya mambo yanyoke
Kwa maamuzi haya tu ni vigumu kwa mambo kunyooka. KUnahitajika 'overhaul' ya mfumo mzima wa uendeshaji wa bandari maana ilishegeuswa kuwa ni kitegauchumi cha kukindi fulani cha watu. Kusimamishawatu wawili watatu wala haitasaidia sana
 
Tatizo sio tanzania tatizo ni viongozi waliopo madarakani na mfumo waliouweka ili kujinufaisha wao kwa expense yawengine. Tukiitoa serikal hii bila kubadili mfumo uliopo haitasaidia sana. Tuitoe serikali dhaifu na tubadilishe mifumo ya utendaji. Walaaniwe mafisadi na wote wanohujumu mali ya umma nakusabisha nchi hii tajiri iombe misaada na kuitwa maskini.
 
Dr Mwakyembe amethubutu lakini mambo bado pale Long room ni uozo tu. Sijui kama pataimprove kitu maana Mgawe et al ana watu wake pale. But the guy (Dr) has made an attempt ambayo JK mwenyewe ameshindwa. Inaweza kuwa mbinu ya kutafuta kukusanya pesa kwa ajili ya 2015 nani anajua???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…