Kashfa ya kugushi amri ya Mahakama

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Nimesoma Kuwa Katika jiji la Dar es salaam, Kuna Mpango wa Kukamata Machangudoa pamoja na Wateja wao, Jambo zuri sana. Ila tungeanza na Changudoa wa Kisiasa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Pamoja na wanaomtuma kunajisi sheria na Haki. Kuna aliyesema ati awamu ya Tano inajali sheria na haki!

"Sheria za Kugushi amri ya Mahakama ili kuiba Umeya? Ingekuwa Nchi Nyingine wa Kukamatwa na Kufukuzwa Kazi Milele ilikuwa ni Yule Malaya Mkurugenzi wa Jiji Na sio yeye tu Bali Ingekuwa Ni Kasfa ya hali ya Juu kwa Waliomtuma ambao wanajijua! Unaongea Upuuzi Gani wewe.

Akina Mdee Kama, na nasema Kama walimweka chini ya Ulinzi Yule changudoa Ni Kwakuwa Utawala wakiwemo Polisi walimtuma na Kumlinda na Hakuwepo wa Kumndhibiti bali wananchi wenyewe.

I wish I was there hiyo kesi ni Tamu sana kwani Ingeibua Huyo Ngedere anayetuma-tuma hao Malaya."
 
Mkuu...Kuna maneno makali sana umetumia hapo....
Labda Ndio Njia Pekee ya wao Kuelewa. Kuwaita Machangudoa Ni Kuwapa Sifa, Watu wanaotaka Kujipatia Kitu kisicho chao na bila hata tone la aibu, Tuwaiteje?
 
Mkuu punguza ukali wa maneno
Nimefanya Hivyo Makusudi, Ili waone katika Lugha ya Picha Mwonekano wao wa Kweli. I don't like to do this. Kwanini Hukuwaambia Hivyo wakati wa Kampeni by the way? Matusi, Kejeli, Vioja, Dharau, Dhihaka walizitoa Kina nani, Leo wanifundishe Ustaarabu wa Kuongea? Wakati wa Kampeni Kila Mtu Nilimwita Mheshimiwa hata Pale Nikimpinga. Lakini watu kama Mkurugenzi wa Jiji la Dar Na Genge lake na Uhuni wao, Kumwita Mheshimiwa si sawa na Kumtukana Mungu wa Haki na Amani?
 
Nimesoma Kuwa Katika jiji la Dar es salaam, Kuna Mpango wa Kukamata Machangudoa pamoja na Wateja wao, Jambo zuri sana. Ila tungeanza na Changudoa wa Kisiasa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Pamoja na wanaomtuma kunajisi sheria na Haki. Kuna aliyesema ati awamu ya Tano inajali sheria na haki!

"Sheria za Kugushi amri ya Mahakama ili kuiba Umeya? Ingekuwa Nchi Nyingine wa Kukamatwa na Kufukuzwa Kazi Milele ilikuwa ni Yule Malaya Mkurugenzi wa Jiji Na sio yeye tu Bali Ingekuwa Ni Kasfa ya hali ya Juu kwa Waliomtuma ambao wanajijua! Unaongea Upuuzi Gani wewe. Akina Mdee Kama, na nasema Kama walimweka chini ya Ulinzi Yule changudoa Ni Kwakuwa Utawala wakiwemo Polisi walimtuma na Kumlinda na Hakuwepo wa Kumndhibiti bali wananchi wenyewe. I wish I was there hiyo kesi ni Tamu sana kwani Ingeibua Huyo Ngedere anayetuma-tuma hao Malaya."
Acha kutafuta kick
 
Aisee! ndio maana huwa nasita mpaka kesho kuingia kwenye siasa. Unaweza ukanyang'anywa ushindi au haki yako kibabe tu na akapewa yule asiyestahili na usifanye kitu.

Vuteni subira bila shaka haki itatendeka.
 
Back
Top Bottom