Kashfa Uingereza yasababisha Cameron kukatisha ziara, Kikwete yeye aenda kutalii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa Uingereza yasababisha Cameron kukatisha ziara, Kikwete yeye aenda kutalii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALABASH, Jul 19, 2011.

 1. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kule Uingereza kuna skandali inayohusu gazeti la News of the World na mapolisi wa UK. Tuhuma hizo zimesababisha Cameron wazir mkuu wa UK akatishe ziara yake South Africa na kurudi kwao.

  Tanzania iko kwenye tatizo zito la umeme na serikali iko kwenye tuhuma nzito za rushwa. Mkuu wa nchi yeye leo anaendelea na safari ya "KIHISTORIA"ya kwenda kutembelea kisiwa alichosotea Madiba kwa miaka 27.

  Wana JF nipoozeni kwa maoni yenu kabla sija-collapse kwa msongo wa mawazo..
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  2015 mbali kweli mbona kazi tunayo watanzania.
   
 3. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unamshangaa kikwete?mshangae pinda kwa nn hajamfuta kazi jairo, na ngeleja kwann hajajihuzuru pamoja na naibu wake kwa kuingiza serkali kwenye kashfa ya rushwa na wabunge wa ccm a.k.a washangiliaji
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kama mnavyojua Rais Jakaya Kikwete na Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron wako ziarani Afrika ya Kusini. Hata hivyo, Cameron amekatisha ziara yake na kurudi nyumbani kutokana na kashfa kali ya phone hacking na rushwa ambayo imesababisha maafisa wa polisi wa ngazi za juu kujiuzulu. Pia Cameron amekatisha ziara ili akaongelee hili suala bungeni kesho.

  Na hapa kwetu, Tanzania pamoja na ukosefu wa umeme, rushwa imeitikisa Wizara ya Nishati na Madilni na kusababisha bunge kutopitisha bajeti ya wizara hiyo. Pinda amesema alikuwa akisubiri Rais Jakaya Kikwete ili aweze "kumshtaki" Katibu Mkuu wa wizara hiyo kutokana na tuhuma zilizotolewa dhidi yake.

  Je, hakuna umuhimu wa Kikwete kukatiza ziara yake na kurudi nyumbani kushughulikia hili suala?
   
 5. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  EMT ni ngumu sana kuielewa hii nchi na viongozi wake. Hili la umeme JK analiona la kawaida tu, so bora ana miaka 10 ya kumaliza.
  Moja kati ya agenda na Cameron ni BAE, wakati kuna bilions zinaibwa na rais hashtuki. Kagoda hajui pesa zipo wapi halafu anatudanganya na BAE.

  Hawa akina Jairo na Ngeleja ni sehemu ya uozo uanoendelea serikalini. Kwahiyo JK kwake ni fair.
  Nchi ipo gizani miezi sasa Rais anazunguka duniani, So sad!!

  Ndiyo maana nasema Lazima watanzania watoe funzo! nadharia haieleweki kwa viongozi wetu.
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Mkuu unataka Akatishe ziara ili birthday ya mandela impite..he he!
   
 7. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu birthday ya Mandela si ilikuwa jana? Arudi tuu.
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Si anaongoza wafu hivyo arudi kufanyanini wakati wafu aliowaacha wanazikana vema.Cameroon anaongoza watu ndio maana amerudi upesi.
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  kurudi bado sana, atatembelea robben island alipofungwa mandela..ni mwendo wa kutalii tu.
   
 10. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,039
  Likes Received: 8,531
  Trophy Points: 280
  kwani jk babako hadi upate msongo akiwa hayupo
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Duh! Tokea awe Rais hajawahi kutembelea kile kisiwa? I don't think so.
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Starehe mbele taifa badae..
   
 13. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  we kizee zimo kweli?
   
Loading...