Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,435
hivi jamani, tuseme ukweli, tz ikifungua milango yote, hata kama tukaamua kuliweka suala la ardhi free kwa east africa wote, nani atapata hasara? nchi gani itakuwa kwa kasi kuliko zote katika easta africa hiii? wapi patachanua kuliko kote katika ukanda huu, hebu nielimisheni jamani mimi sikusoma uchumi.
mbona mimi naona hakuna sababu kwa tz kujitenga na easta frica, tufanye tu kama wanavyofanya wenzetu, hata mkenya akija kupata ardhi hapa hawezi kuihamisha, bali atajenga nyumba hapahapa tz, hawezi kwenda kujenga kule, construction industry itakuwa kwa kasi sana, agriculture itakuwa kwa kasi sana na tz kutachangamke kuliko hivi sasa...
Sio Strabag tuu,,inasemekana hawa jamaa wa strarbag wanaojenga barabara dsm, wanazo ofisi zao Nairobi, na hapa dsm wamekuja na mainjinia toka kenya na hata ma human resources wametoka kenya. sasa wale ma HR wa kikenya unaambiwa wanachofanya ni kuleta hadi vibarua toka kenya kinyemela na wanatumika na hao wazungu kuwabana wabongo. jambo hili limepelekea pamoja na mambo mengine, mgomo huu wa juzi wa wafanyakazi kwani pamoja na kudai malipo bora, walikua hawamtaki boss wa kikenya anayewanyanyasa wabongo. hivi kampuni ya nje inapokuja hapa, inakuja na wafanyakazi wenye elimu na ujuzi ambao umejaa hapa bongo? hata human resources, ina maana tz hakuna hr wala hakuna vibarua? tatizo ni pale wakenya wanapokuwa wanawafanyia visa wabongo, kama unavyojua watani wa jadi.
nilichojiuliza ni kwamba, hizo hela za barabara ya magari ya kasi tumepewa na world bank lakini si bure, ni kwa mkopo, kodi za watz ndizo zitakazolipa hilo deni, hatujapewa msaada. sasa, inakuwaje hela tutakazokuja kuzilipa sisi wenyewe tusifaidike nazo jamaa zetu wapate ajira, na WAKENYA WANAOFANYA HAPA hata kama ni vibarua tu wanapata mishahara mkuuubwa kuliko wabongo ambao ndio watakaolipa deni hilo. wakenya hao hawana vibali vya kufanya kazi hapa na wanawaficha wakenya wenzao wengi. uhamiaji kuna nini? mmelala?
Duuuh kweli wewe haupo vizuri wakenya hawako vizuri kabisa kipindi nipo primary kulikua na walimu toka kenya wakikuyu aiee wao walikua wanatamka this mboy, this ngal,kumaanisha this boy au this girl waganda ndo kabisaaa wanachanganya na kikanda utakuta neno particular linatamkwa patichular, information neno linavyutwa infooormation...ingawa na wabongo wabovu kabisa...we una akili sana, kama vyuo vikuu vyetu vimeleta Kiingereza cha Kikwete na Mulugo! Am pretty sure watoto wa darasa la 2 Kenya wanawazidi hawa watu kwa fluency, semantics and synthax
ukimuamsha alielala?
shule zote za primary za private arusha walimu wengi ni wakenya!
hivi jamani, tuseme ukweli, tz ikifungua milango yote, hata kama tukaamua kuliweka suala la ardhi free kwa east africa wote, nani atapata hasara? nchi gani itakuwa kwa kasi kuliko zote katika easta africa hiii? wapi patachanua kuliko kote katika ukanda huu, hebu nielimisheni jamani mimi sikusoma uchumi.
mbona mimi naona hakuna sababu kwa tz kujitenga na easta frica, tufanye tu kama wanavyofanya wenzetu, hata mkenya akija kupata ardhi hapa hawezi kuihamisha, bali atajenga nyumba hapahapa tz, hawezi kwenda kujenga kule, construction industry itakuwa kwa kasi sana, agriculture itakuwa kwa kasi sana na tz kutachangamke kuliko hivi sasa...
Duuuh kweli wewe haupo vizuri wakenya hawako vizuri kabisa kipindi nipo primary kulikua na walimu toka kenya wakikuyu aiee wao walikua wanatamka this mboy, this ngal,kumaanisha this boy au this girl waganda ndo kabisaaa wanachanganya na kikanda utakuta neno particular linatamkwa patichular, information neno linavyutwa infooormation...ingawa na wabongo wabovu kabisa...

we una akili sana, kama vyuo vikuu vyetu vimeleta Kiingereza cha Kikwete na Mulugo! Am pretty sure watoto wa darasa la 2 Kenya wanawazidi hawa watu kwa fluency, semantics and synthax
hahahahaha ndo wenyewe hao mkuuu....Hata neno brand hawajui kutamka kiufasaha wanasema brad.