Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Waliyoyapigania wakati ulendio Magufuli kila siku hakauki MNH..
 
Certificate nyingine kasoma april mpaka april, au alikua anarudia chekechea, uongozi ni upeo, uwezo wa kuona mbali sio ma vyeti yakuungaunga
 
Du
Kwa kweli FISIEM wamepagawa.
Kwa uandishi huu ni wazi kuwa Ugambani kuna watu watakuwa Mataahira very Soon
 
Duh! kweli mmeshikwa pabaya, wewe una vyeti vingapi? kama sio leaving certificates?
 
Mm nilichoona kwa mwandikaji huyu na ndondocha wa mtu sasa mwenye ndondocha ameanza kufilisika ambae ni ccm
 
nenda kafanye mapenz mjinga ww kuchambua haujui kabsa
 
Uliyeweka habari hii wewe ndo unaonekana hazimo kabisaa kwanza mara useme alichakachachua dawa akiwa kama nani, mara kusababisha vifo. kama hana elimu ya maana kitu gani kiliifanya serikari imwajiri, huyo katibu wako wa uvccm ndo hazimo ndo maana ukutibu huo. tunataka ulete hoja zenye mashiko.
 
Wewe utakuwa Bwabwaa unaongea kama jina la yule Balozi wa Zambia (Musenge Mukuma).
 
Khaaa mambo ya CDM ww CCM yanakuwashia nn, kama Katibu Mkuu ni kimeo si ndio faida kwa chama chako, sasa unalalamikaa kama ww ni mwana cdm asilia, nakukemea shindwa....
 
Jamaa ana PHD kama magufuli,ili kuongeza utaalamu wa masuala mbali mbali nje ya fani yake ameongeza na certificates kibao!kiufupi elimu yake si ya kuunga,ni msomi kuliko Rais yeyote wa Tanzania kuwahi kutokea!
 
Wahi kwa mzee wa mtama uchukuwe buku 5 yako,maana nasikia mpenguziwa saizi mnapewa buku tano
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Sass certificates sio kusoma au unamaanisha Ni informal, hueleweki hata, kuunga kaanzia wapi? Mbona mpaka degree ya pili amekwenda continuously? Wataz tuna shida sana.
 
Mti wenye matunda hupigwa maweeee nimeona ilo tuache na chama chetu aya hayakuhus nakushaul fuatiliaa ya cc........
 
Nimecheka sana baada ya kusoma huu uzi!!! Daaaah, sijutii kwamba ujumbe haupo ila vichekesho vimenipa faraja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…