Kashfa nyingine ya Mh. Lowasa ni nini?

Kashfa nyingine ya Mh. Lowasa ni nini?

mnyama k

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,079
Reaction score
344
Wakuu, tukiondoa hii ishu ya reachmond isio na ushahidi wa wazi kwamba Mh Lowasa anahusika,ni ishu gani nyingine ambayo Mh Lowasa ameifanya katika nchi hii ambayo inaweza kuonyesha kwamba yeye ni fisadi??.

Nawasilisha!!.
 
Kashfa yake nyingine ni kutaja waziwazi ya kuwa mamlaka ya juu ndiyo inayohusika na RICHMMONDI.

Hahaa hiyo ina fanana na ile ya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba kandamizi wa mkoloni wa mto nile ulio shindikana na viongozi wengine woote kwa maslahi ya watanzania ambao walikuwa hawajapata kuona maji ya bomba tangu Uhuru.

Nyingine???.
 
Inasemekana ni mtiaji wa rushwa..lakini katika kumbukumbu za takukuru hajawahi.kukamatwa yeye au hata mpokeaji wa rushwa kutoka kwake.. Jana Kamanda Mawazo kasema CCM haijawahi kumuogopa mtu mbaya inaogopa mtu mzuri anayeweza kuzuia maslai yao..
 
Wakuu, tukiondoa hii ishu ya reachmond isio na ushahidi wa wazi kwamba Mh Lowasa anahusika,ni ishu gani nyingine ambayo Mh Lowasa ameifanya katika nchi hii ambayo inaweza kuonyesha kwamba yeye ni fisadi??.

Nawasilisha!!.

Pengine inaweza isiwe kashfa ya moja kwa moja ya Ufisadi lakini kwa kuwa swali ulilouliza ni kuhusu 'kashfa nyingine ya Mh. Lowassa ni nini'? Nitakueleza.

1. Matumizi mabaya ya Madaraka:
Kwa jutumia cheo chake aliwahi kuwatisha
-Aliyekuwa kiongizi mmoja wa TBL baada ya kuorder kreti 500 za bia kwa sherehe yake binafsi, bila ya malipo kwa kutuma ki_note kisemacho "nashukuru kwa msaada wako wa kreti 500 za bia"(ushahidi upo)

Kulazimisha ufaulu wa mwanae(MUCHS) na mdogo wa mkwe wake(MUHAS) waliokuwa wakisoma Chuo kikuu cha Afya na Tiba ya Sayansi Muhimbili.(ushahidi pia upo)

2. Afya yake:
Huwa ninafurahi ninapomuona Obama takribani mara zote anaposhuka au kupanda ndege yake kuwa na uchangamfu fulani na kuonyesha uimara wake kiafya. Siombi/wala kusema ni lazima Mh. Lowassa nae afanye hivi(ofcourse kuna picha zipo akifanya "mazoezi"), lakini ninachokisema Afya ya "the white" ni mgogoro, hili twalijua hata kupunga mkono kwa nguvu tu bado ni shida.
 
bila shaka umu ndani kuna wtu hawajielew na hawato jielewa kamwe.....Tz maisha ni magumu sna na km tukiendelea na upuuz wetu wa kulopoka na kuongea utumbo na fikra, mawazo na kutojielewa tutaendeleA kuwa masikini mpk yesu arudi...... Ni wakat wa madiliko ivyo tujipange na tuwe watu wa kufikilia vtu vya maana na vya maslahi, tukipuuza hili itakula kwetu.....chaguo ni lako amua ss badiliko yanaitajika ni mimi na ww Tz inapaswa kubadilka tna sna.... HIPPOcr.
 
Last edited by a moderator:
kama kiharusi kitamzidia si makamu wa rais bwana ismail jusa atakamata madaraka,tatizo la afya lisitutishe sana bana....
 
Rushwa ,Uroho wa Maaraka na ana utajiri usiokuwa na maelezo ,amejilimbikizia mali nyingi sana.
 
MATUMIZI MABAYA YA PESA

Jamaa anamatumizi mabaya ya pesa tuliona kipindi anasaka wadhamini akiwa ndani ya ccm kulikuwa na haja gani ya kutembea na msafara wa mabasi matatu ya mejaa wapambe

Ikiwa pesa yake tu anaitendea hivi itakiwaje kwa pesa ya uma?
 
llowasa ametakaswa chadema,Chenge na jk ndio mafisadi
 
Rushwa ,Uroho wa Maaraka na ana utajiri usiokuwa na maelezo ,amejilimbikizia mali nyingi sana.

Uroho wa madaraka? nani kakwambia kwamba hakuna mtu asiyependa madaraka hata wewe hapo ulio unayataka
Utajiri usio na maelezo-Tume ya maadili inafanya kazi gani au wewe ndio tume?
Rushwa- Ametoa wapi na kwa nini asikamatwe au wewe ni TAKUKURU?

njoo na hoja zilizoshiba na sio hoja za vijiweni kumbuka upepo umeshabadilika kwa sasa
 
Pengine inaweza isiwe kashfa ya moja kwa moja ya Ufisadi lakini kwa kuwa swali ulilouliza ni kuhusu 'kashfa nyingine ya Mh. Lowassa ni nini'? Nitakueleza.

1. Matumizi mabaya ya Madaraka:
Kwa jutumia cheo chake aliwahi kuwatisha
-Aliyekuwa kiongizi mmoja wa TBL baada ya kuorder kreti 500 za bia kwa sherehe yake binafsi, bila ya malipo kwa kutuma ki_note kisemacho "nashukuru kwa msaada wako wa kreti 500 za bia"(ushahidi upo)

Kulazimisha ufaulu wa mwanae(MUCHS) na mdogo wa mkwe wake(MUHAS) waliokuwa wakisoma Chuo kikuu cha Afya na Tiba ya Sayansi Muhimbili.(ushahidi pia upo)

2. Afya yake:
Huwa ninafurahi ninapomuona Obama takribani mara zote anaposhuka au kupanda ndege yake kuwa na uchangamfu fulani na kuonyesha uimara wake kiafya. Siombi/wala kusema ni lazima Mh. Lowassa nae afanye hivi(ofcourse kuna picha zipo akifanya "mazoezi"), lakini ninachokisema Afya ya "the white" ni mgogoro, hili twalijua hata kupunga mkono kwa nguvu tu bado ni shida.

Kuumwa nayo kumbe ni kashfa nilikuwa sijui......... Gamba hili 😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom