Kwani huyo dau kwa sasa ni balozi wa nchi gani?Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Cc:Fayza FoxMtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Ivamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,Nikamaa Jf imevamiwa
DG wa sasa ni mpendwa lakini mkuuIvamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha
gari na alipopelekwa Shinyanga
alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi
nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote
std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Kwa chuki zenu mmefikia kudhani hii nchi ni yenu peke yenuIvamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,
Sasa hivi wameamua kuacha ku invest kwenye barabara na umeme ambao walikuwa wanapata faida kwa asilimia 300 na kwenda ku invest kwenye mabwawa ya samakiKama hilo linaukweli basi hali inatisha sana.
Balozi mtarajiwa huko ukonga magereza,Kwani huyo dau kwa sasa ni balozi wa nchi gani?
Dominic Mbwette aka Mr Fake DegreesTaja jina la huyo Mkurugenzi wa utawala
Hakuna chuki ktk ukweli aunt,dau aliharibu na mbaya zaidi alidharau kila mtu,hebu fuatilia ujue alivyomtoa singili pale azania benki kisa tu kafiriKwa chuki zenu mmefikia kudhani hii nchi ni yenu peke yenu