Kashfa: Mradi wa nyumba 73 za ndugu Masamaki wa TRA

QUOTE="BILLY ISISWE, post: 14838585, member: 207158"]Mahakama ndio wataoamua, nyumba zichukuluwe au laa[/QUOTE]
Wala si Mahakama. DPP akisema hakuna kesi hakuna wa kuuliza.
 
Kwan mtumishi wa uma hapaswi kuwa bilionare?.
Nyumba 73 ni chache sana bcz hata masikini wanazo kazaa.
 
KWAPICHA HIZO NAWAZA.SANA.SANA.NN.KINAENDELEA.NA.IGP N.HUUUHuYU AU MWINGINE...
Uyo jamaa anaitwa Mohammed salah anamiliki kampuni inaitwa silent ocean Ana pesa kama nyasi za uwanja wa taifa, nahisi atakua na meli ya mizigo mpaka sasa,
 
Habari wadau wa JF,

Mmoja wa watumishi wa TRA aliyesimamishwa kazi Ndugu Masamaki Ana mradi Mkubwa Kama wa NSSF.

Inakuwaje mtumishi wa umma anakuwa na fedha kiasi hiki?

Ndio maana tunasema makontena hayakupotea Bali yameenda kwenye matumbo ya watu.

Magufuli tunaomba uzichukue hizi nyumba wakae walimu au polisi na ziwe Mali ya serikali.

Fedha nyingi zinapotea na kwenda kwenye matumbo ya watu wachache.
😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom