Kasheshe la morogoro road

Kasheshe la morogoro road

Mutensa

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
421
Reaction score
92
Wanajamvi. Kuna ajali iliyotokea morogoro road watu wamelala kwenye magari. Mwenye update atujuze. Naongelea kipande cha mbezi hadi kibaha.
 
Bado tu foleni haijaisha, maana hii imeanza tangia jana jioni
 
Back
Top Bottom