Kasheshe kweli je ni kweli hiyo?

Hizi zilikuwepo sana hasa paper ikiwa ngumu. Unachukua booklet extra twice, vipanga wanapanic ile mbaya. Afu unamaliza paper baada ya one third of the time, unakusanya empty pia. Vipanga wakikwama na wao inabidi ipigwe factor afu mnatoka wote lol. Them good days!
 
Mwanamume mzuri utafikiri Mwanamke ahhhhhh Mashallah Ama kweli Mwenyeezi mungu anajuwa kuumba asifiwe Bwana Ameen.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…