Kasheshe kweli hata wanyama kumbe wanafunga?

Hawa duma bado hawaja mature na hapa walikuwa hawajuwi kumuua chakula ama kucheza naye. Niliona hii documentary kwenye BBC animals.
 
Wamefunga ndio lakini wanamuhifadhi kwa ajili ya futar au daku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…