Kaseja Never to play for Taifa Stars | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaseja Never to play for Taifa Stars

Discussion in 'Sports' started by uporoto01, Oct 8, 2008.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I was talking to a friend who regularly meets national team coach Maximo who one day asked the coach why he did not pick Juma Kaseja as a goalkeeper for Taifa Stars as he is a good goalie.The coach suddenly became thoughtful and after a few minutes said he knows that Kaseja is a good goale but will never use him because he commited the ultimate sin a player of the national team can commit.During a game against Senegal he was seen smilling and even laughing whenever a goal was scored against Taifa Stars.Maybe in his selfish mind he thought this may improve his chance of replacing Ivo Mapunda but it only proved to the coach his bad character and he will leave a note for the next coach[when his contract expires] about this and other observations he has made.
   
 2. M

  Magehema JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2008
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  What do you want to tell us? Which is a football sin? I take for granted that a football sin is to let inn silly goals which costed us a chance to qualify for the AFCON and World Cup in Angola & South Africa respectively. Maximo hana hoja ya msingi, kwanza maamuzi yake sio ni so contradictory, kuna kipindi alituambia M. Ngassa mfupi wakati huo huo alikuwa na Said Maulid kwenye timu, bahati mbaya hakuna mazoezi ya kumfanya mtu awe mrefu! Cha kushangaza huyo Ngassa mfupi leo ndo anaibeba timu yake! Suala la Kaseja ni chuki binafsi tu. Ila tukatae tukubali Kaseja bado ni kipa bora Tanzania.
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama haya ya posting # 1 ni ya kweli, nampa PONGEZI ZANGU ZOTE ZA DHATI KABISA MARCIO MAXIMO. Tena napendekeza huyu Kaseja apimwe kwanza akili then kisha uraia wake uchunguzwe ili tujue hatua ipi tumchukulie.
   
 4. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Binafsi namuunga mkono kocha,nisichoamini ni kama kosa hili halisameheki hivyo kushindwa hata kumpa nafasi ya pili na kuangalia kama amejirekebisha hasa ukichukulia jinsi Ivo anavyotucost.
   
 5. M

  Magehema JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2008
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna habari nyingi sana kuhusu Juma K kutokuchukuliwa tena national team pamoja na kuwa ndio kipa bora Tz, wapo wanaodai alicheka wakati tunachezea kamba nne kule Senegali, pia kuna habari moja sijui imeenea kwa kiasi gani hapa mjini ila inazungumzwa sana sehemu za mikusanyiko ya wanamichezo hasa pale Leaders Club kwamba Juma K na Maximo waligongana kwa demu mmoja ambaye ni mtangazaji wa kituo kimoja cha TV hapa bongo na J Kaseja alimzidi kete Maximo, na hiyo ndo sababu mpaka leo yule bwa mdogo hachaguliwi timu ya Taifa. kuna siku moja Maximo alinukuliwa akisema kwamba suala la Kaseja kutokuitwa timu ya Taifa ni siri yake yeye na Juma Kaseja!
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2008
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hii imenikumbusha bifu la M`d mwameja na M` ndolanga enzi za FAT.
   
 7. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Nitamtafuta Kaseja anieleze ukweli kwa kuwa Maximo anapiga chenga. Kama suala ni mwanamke wanatuingizia mpaka kwenye kutuharibia mambo ya kitaifa wote huyo Kaseja na Maximo wake hamnazo!!!!!!!!
   
Loading...