Karume 'mpuuzi', lakini ukweli wake mchungu

Karume 'mpuuzi', lakini ukweli wake mchungu

Ahsnante mkuu. Ila hz ndio siasa za ccm. Hawapendi kusikia tofauti na wanachokitaka au kukiamini wao. Ila nmependa amefunguka vzr na sasa yuko huru.

Yap, ameonesha mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wengne wanaopenda maendleo ya nchi, hata km wanatoka chama tawala.
 
Ccm ni km inzi anayetua kwenye kinyesi baada muda anasogea pembeni na kuanza kujifuta na baada muda atarudi tena kwny kinyesi
 
Back
Top Bottom